uchapaji kazi na utunzaji wa mali...................

wanawake ni wazuri kwa ku keep na ku save
ukipata ambae sie 'shangingi la mjini la kurushana roho na wenzie'...

ndo maana wanaume wengi hufanikiwa after marriage..

umesema vizuri sana ila kuna wale wababa ambao wanaonaga kama vile mama mchapa kazi kama ni mshamba wewe unaiona vipi hii
 
kwangu mimi siwezi ni kamuacha mpaka ana fiko hapo, lazima ni mwambie.

Lakini kumbuka wanaume tunatofautiana wengine akiona wewe ni mchafu ana take advantage ya kutoka nje.

Na lazima ukubali kuna wanawake wahashauriki ni wabishi, ukimwambia ajirekebishe atasema kazi ndio zinasababisha.

nashukuru kwa ushauri wako huu. haya je kwa yule mwanamke ambaye ni mchapa kazi lakin baba anamfanya kama shamba la kwenda kuchuma na kutumbua anatumbua na awapendao?
 
hawamuoni mshamba
ni kawaida watu ku take for granted what they have already

aisee boss nimmeshuhudia kisa kimoja kimeniuma sana a man anacukua kila kitu kwa mkewe anakwenda kutumbua kwa kimada zikiisha anarudi tena????tena anasema huyu ni mzuri ngozi laini ndoa anyestaili kupata raha???
 
Last edited by a moderator:

sasa mwanamke akikubali kuwa 'a door mart'
unategemea vipi
ingawa huyo mume pia si mtu
 
nashukuru kwa ushauri wako huu. haya je kwa yule mwanamke ambaye ni mchapa kazi lakin baba anamfanya kama shamba la kwenda kuchuma na kutumbua anatumbua na awapendao?

hapo ndipo tunaambiwa kuwa tuwe waangalifu tunapo chagua watu wakuwa nao maishani!
Mtu kama huyo hashindwi kukuwekea sumu ukafa.

Kwa mtu ana yekupenda kweli lazima athamini mchango wako hata ukikosea ata kwambia?

Na ukiona mwanaume ana kufanyia hivyo ujue hapo hakuna upendo wa dhati.

Nitabia ambayo wanaume wavivu wa kufanya kazi huitumia!
 
Kuna wanaume ambao wake zao ni wa chapa kazi lakini wao wanatapanya mali hvyo kwa vimada, na wake zao wakihoji watapea kila ain ya kashjfa, eti wanataka kuwatawala............. Nishaishudia hiyo.
Lakini pia kuna wale ambao hawana karama lakini ni washauri wazuri kwa wake zao wachapa kazi na ndio pale unakuta mume ni thinker na mke anapiga mzigo na kipato kinaongezeka.

Tunatofautiana sana namna ya kufikiri kuna wale wanaoamini kwamba wanawake hawatakiwi kumiliki mali , na wakiona mwanamke anapata mafanikio wao hujitahidi kuwarudisha nyuma kwa makusudi, hata ikiwezekana kuwakodia majambazi ili akwame wafanane.
 
Duh! yaelekea humu jf wengi ni wavivu ani mmenisusia kabisa?

Duh, kweli kama alivyosema kibali na mimi leo umeniacha hewani kidogo gfsonwin
Ngoja kwanza nile halafu nitasoma comments zote, hopefully I will get something to say
 
Two wrongs dont make it rite.............ni kuwekana chini na kuelezana nini kinahitajika na jinsi ya kufikia malengo hayo moyaweka......in case mwenzako si mzuri kwenye kufuatilia then you just take a leading role.....s/he might learn kwa vitendo....

Ila mtu mvivu na mtapanyaji........!!!!!!! GOD FORBID...... I could let it go kwa kweli
 
gfsonwin leo nimekuwa msomaji tu maana kiukweli sijawahi ona wala kusikia uchapaji kazi ukawa issue kwenye ndoa, nadhani ndo maana ilitumika kama mojawapo ya vigezo vya mwanamke kuolewa enzi hizo. Ila the opposite (uvivu) ndo inakuwaga tatizo.
 
sasa mwanamke akikubali kuwa 'a door mart'
unategemea vipi
ingawa huyo mume pia si mtu

hivi kwani ndani ya ndoa kila kitu mwanamke lazima akipate kwa kutoil sana? siyo wajibu wa mume kutoa kwasababu ni hak ya mwanamke? i hate such kind of life aisee yaani mume kila kitu ukipate kwa kutoil???? you guys try atlest to be fair aisee.
 
gfsonwin leo nimekuwa msomaji tu maana kiukweli sijawahi ona wala kusikia uchapaji kazi ukawa issue kwenye ndoa, nadhani ndo maana ilitumika kama mojawapo ya vigezo vya mwanamke kuolewa enzi hizo. Ila the opposite (uvivu) ndo inakuwaga tatizo.

my dearest bro mito hii ishu ya uchapaji kazi now men use it alternatively yaaani to them wanaona kama ni sababua ya mwanamke mchapakazi kuwa chuma ulete. nimshuhudia mwanaume anachukua vitu mkewe anavyolma na kupeleka kwa kimada na tena kimada anapita akijishaua yeye atafute kule ndo supermarket yangu!!!!!!!!!!!!!! hivi inakuingia akilini?

imagine mkeo analima mbog mboga kwenye vinyungu, anafuga tukuku na tumbuzi analima maind na mpunga just to increase family surplus wewe unatafuta kimada kwenda kutumbua naye kweli is this fair au kuna ulonzi hapo? yaani nimewaza hadi mabaya a husband saying wewe ngozi yako imekomaa naenda kula na ngozi laini????????????????? yaani this world ma dearest iache tu iwe kama ilivyo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanaume ambao wake zao ni wa chapa kazi lakini wao wanatapanya mali hvyo kwa vimada, na wake zao wakihoji watapea kila ain ya kashjfa, eti wanataka kuwatawala............. Nishaishudia hiyo.
Lakini pia kuna wale ambao hawana karama lakini ni washauri wazuri kwa wake zao wachapa kazi na ndio pale unakuta mume ni thinker na mke anapiga mzigo na kipato kinaongezeka.

Tunatofautiana sana namna ya kufikiri kuna wale wanaoamini kwamba wanawake hawatakiwi kumiliki mali , na wakiona mwanamke anapata mafanikio wao hujitahidi kuwarudisha nyuma kwa makusudi, hata ikiwezekana kuwakodia majambazi ili akwame wafanane.

yaani ndugu yangu Mtambuzi hapa ndipo ninapochokaga tabia a kiume aisee. naamini mwanamke ambaye ni mtapanyaji can be trained na akabadilika vizuri tu ila kwa mwanaume jamani sijui kwanini inakuwa ngumu yaani hadi mtu unafikia mahali unakata tamaa na maisha kabisa. unajua kwanini wanawake waa kimachame wanaitwaga wapalestina? its like hawawez kuvumilia tabia kama hii they are such a hardworking people ambao wao kazi ni kazi ilimradi it gives money kihalali sasa unakuja kukutana na libaba limekaa kutwa kuoga tu na kukaa bar na sigara na wanawake seh! unaua siyo siri. yaani wanaume wa staili hii mnaboa hadi aibu. acheni tu waitwe wauaji hawa wamachame
 
Last edited by a moderator:
hapo ndipo tunaambiwa kuwa tuwe waangalifu tunapo chagua watu wakuwa nao maishani!
Mtu kama huyo hashindwi kukuwekea sumu ukafa.

Kwa mtu ana yekupenda kweli lazima athamini mchango wako hata ukikosea ata kwambia?

Na ukiona mwanaume ana kufanyia hivyo ujue hapo hakuna upendo wa dhati.

Nitabia ambayo wanaume wavivu wa kufanya kazi huitumia!

yaani rutta binafsi tabia hii inaboa sana na mimi huwaga nasema kabisa nikutanapo na case kama hizi mama vaa sura ya kazi yaani ukivuna weka stoo na uifunge funguo tembea nazo. yaani hapa ndipo watu wanasemaga wamachame wauaji kwa stail kama hii wacha waue tu aisee! alaaaa! mwanaume mwanaume surualia kiha unaleta uduwanzi wa kutapanya mbona nafyeka maeneo mkuu!
 
Last edited by a moderator:
my dearest bro mito hii ishu ya uchapaji kazi now men use it alternatively yaaani to them wanaona kama ni sababua ya mwanamke mchapakazi kuwa chuma ulete. nimshuhudia mwanaume anachukua vitu mkewe anavyolma na kupeleka kwa kimada na tena kimada anapita akijishaua yeye atafute kule ndo supermarket yangu!!!!!!!!!!!!!! hivi inakuingia akilini?

imagine mkeo analima mbog mboga kwenye vinyungu, anafuga tukuku na tumbuzi analima maind na mpunga just to increase family surplus wewe unatafuta kimada kwenda kutumbua naye kweli is this fair au kuna ulonzi hapo? yaani nimewaza hadi mabaya a husband saying wewe ngozi yako imekomaa naenda kula na ngozi laini????????????????? yaani this world ma dearest iache tu iwe kama ilivyo.

gfsonwin huo (in red) nau-regard kama ni unyanyasaji wa familia, udhalilishaji wa kijinsia, na matokeo ya kuwa ktk ndoa ya kulazimisha, yaani mwenzio ameishakuchoka mpaka basi tena! Vitendo hivi mara nyingi hufanywa na wanaume ambao wanatumia vibaya masculinity yao, na wengi wao huwa ni shule-less. Ukikuta mwenye shule yake anafanya hivyo ujue basi ni yule aliesoma bila kuelemika. Vipi huyo unayemrifaa ana shule kweli?
 
yaani rutta binafsi tabia hii inaboa sana na mimi huwaga nasema kabisa nikutanapo na case kama hizi mama vaa sura ya kazi yaani ukivuna weka stoo na uifunge funguo tembea nazo. yaani hapa ndipo watu wanasemaga wamachame wauaji kwa stail kama hii wacha waue tu aisee! alaaaa! mwanaume mwanaume surualia kiha unaleta uduwanzi wa kutapanya mbona nafyeka maeneo mkuu!

Tatizo ni mtu mmoja kumpenda mwenzio kupitiliza na kuhofia kumpoteza.

Yan kama wewe unavyo sema hivyo lakini unaweza ukanasa kwa mtu na ukakubali yote na mara nyingi haya huwa kuta wanawake kwani kwa swala la kupenda kweli huwa sina doubt nao lakini wanaume tulio wengi mara nyingi tuna fake.

Ni vizuri kuwa na msimamo na kuwa na upendo wa kiasi
Toa kulingana unavyo pokea!
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin huo (in red) nau-regard kama ni unyanyasaji wa familia, udhalilishaji wa kijinsia, na matokeo ya kuwa ktk ndoa ya kulazimisha, yaani mwenzio ameishakuchoka mpaka basi tena! Vitendo hivi mara nyingi hufanywa na wanaume ambao wanatumia vibaya masculinity yao, na wengi wao huwa ni shule-less. Ukikuta mwenye shule yake anafanya hivyo ujue basi ni yule aliesoma bila kuelemika. Vipi huyo unayemrifaa ana shule kweli?
mito labda nikwambie huyu ni msomi asiye elimika manake ni mzee wa makamo kimtindo na alisoma huko ughaibuni enzi za mwl degree ya pili. kafanya haya hadi sasa kahama nyumba yaani halafu alichelewa kuoa so anawatoto wa sec kwa sasa mtu ambaye alitakiwa kuwa na wajuu labda
 
Last edited by a moderator:
Kuchapa kazi hadi kusahau familia nitachukulia ni mtu asiyejali. Lazima muda wa kuwa na familia upatikane hata kama si mara kwa mara. Matunda ya uchapaji kazi wake pia yaonekane sio mr yupo busy 24/7 na cha maana anachofanya hakionekani.
 
Back
Top Bottom