Uchangudoa Kinondoni na Buguruni

Uchangudoa Kinondoni na Buguruni

HansMaja

Senior Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
105
Reaction score
127
Jamani sijui serikali inasaidia vipi wananchi wake. Maeneo ya Buguruni na Kinondoni hali ni mbaya nyakati za usiku. Wasichana wadogo wanajiuza - wanagawa uroda - ngono inaendelea bila aibu. Huu ni msiba kwa nchi.
 
wewe unawasaidiaje?
 
Yaani mi sielewagi elewagi ujue........

Kuna siku maeneo ya Sinza nimeona vibinti vidogo yaani

hii ni Kadhia aisee
 
sinza mwananyamala uwanja wa fisi aiseeee wale wamejenga vijumba vinavyoingia vitanda vya futi moja kwa moja
 
Hii ni biashara kongwe kuliko zote duniani sasa sijui mnashangaa nini? Yaani mnategemea jiji kama Dar es Salaam kusiwe na biashara ya ngono dunia hii hii tunayoishi?
 
Haya ndio mambo ya jamii na kujamiiana
 
Hata usijaribu vita na hii kitu ni sawa na kuzuia mafurika kwa kiganja cha mkono!
Ni heri utafute vita ingine, kama umaskini, ulevi na vingine ila prostitution haiwezekani vatican na medina tu wameshindwa sembuse dar!
 
Tufike sehemu tuwe wakweli, mfumo wa soko hulia (ubepari) ni unyama. Unachukua rasilimali za jamii na kuziweka mikononi mwa wachache, matokeo yake ndio hayo. Tujiulize ni nchi gani ya kibepari haina madanguro (kwa mujibu wa sheria)? Hayo unayoona ni matokeo ya mfumo wa uchumi wa kuwapuuza wengi na kuwasukuma pembenzoni mwa fursa za kiuchumi. ''Huwezi kuungua upele ukaacha kujikuna''.
 
Jamani sijui serikali inasaidia vipi wananchi wake. Maeneo ya Buguruni na Kinondoni hali ni mbaya nyakati za usiku. Wasichana wadogo wanajiuza - wanagawa uroda - ngono inaendelea bila aibu. Huu ni msiba kwa nchi.

Sasa na wewe ulikuwa unatafuta nini maeneo yote mawili usiku?
 
it may be mlalamikaji akawa ni mteja mkuu/supa dila wa hayo matendo
 
Back
Top Bottom