Uchambuzi wa kitabu: Unanswered Cries

Ndo wana wenu hao labda hio PM hawaijui vizuri

Labda wanafikiri una muda kuanzia PM
 
hawajui maana ya pm.
ngoja niwajuze.
PM ni private message.

Saafi mkuu..ila tatizo ni kwamba wengi wao huwa wanatumia JF kupitia Operamini,UC.......kama wangekuwa wame-install JF app bac wangeelewa mapema....Kwa ushauri tu kum-PM mtu km unatumia hizo browser bac click jina la mtu then kuna info zake zitakuja ambapo chini itakuwa na bar inayosema send message
 
kama mwalimu mzoefu wa somo la kiingereza, hususani kwenye kipengele cha fasihi, siwashauri waalimu kutegemea solely uchambuzi wa watu wengine.

Jambo hili linasababisha uvivu na kukosa ubunifu katika ufundishaji. kama mwalimu, unatakiwa kukiaoma kitabu husika na kuandaa uchambuzi wako ukishirikiana na wanafunzi wako.

Wanafunzi wengi wanafeli maswali ya literature kwa sababu nao hawasomi vitabu bali wanakariri chambuzi, matokeo yake swali lolote watakolopewa watajibu themes mfano, Fgm, corruption, position of women, trad and customs kwa upande wa novella hii ya conteh.

Tafadhali ndugu walimu, tubadilishe mtazamo huu kwa mistakabili wa ufaulu wa watoto wetu katika somo hili.
 
Back
Top Bottom