Uchambuzi wa kina kuhusu kozi za computer - IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security

Ni chuo gani kizuri kwa kozi ya IT hapa Tanzania?
 
Uzi huu nimekutana nao leo. Naamini ungekuwa jukwaa la elimu ungesaidia sana vijana na wazazi hasa wale wa form4. Wengi wetu mtoto anakuambia baba au mama nataka nikasomee computer ukijaribu kuchunguza unapata nightmare kwani yeye mwenyewe hajui ni nini hasa anataka kusoma na wazazi kama sisi wa enzi hizo ni shida kabisa. Ukijaribu kuangalia prospectuses utashangaa hata kwa kozi zenye jina moja utashangaa courses ni tofauti na kama hiyo ya arusha huoni tofauti kati ya it na cs. Niliwahi kuandika na kuomba wataalamu waandike bandiyo la kufafanua haya mambo. Hivyo mkuu ahsante sana uzi huu utasaidia.
 
Mwanangu nimekukubali
 
mwanangu kuhitimu shahada ya tehama nowadays sio kunua hesabu...

Broo kaongea sana juhudi yako ni msingi bora sanq kuliko hata mavyeti!
 
Jamaa abarikiwe....
 
Chuo kipi bora kwa CS au CE au IT?
 
Pumba
 
Nataka msaada wa Microsoft Office 2019 with activation keys.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ