Zantel wanabaki kuwa internet provider wa maana kuliko wote
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!Pombe ileile tofauti chupa.
Hivi Mr. President??? Ulipoingia madarakani kwa sh. 500 ilikuwa mb300 leo mb1???
Nitakukumbuka sana.
Ni kweli usemayo kuhusu Zantel ila Shida yao Zantel mpaka uweze kupata vifurushi vyao hizo proces zina kona na vyumba kibao, unaweza kuahirisha na kuishia njiani. Mbaya zaidi eti uwe na line yao ya simu (Sijui kama utaratibu huu bado upo) na kingine wao wanakamata data kwenye manispaa tu.
Nileeteen Hao Halotel..Mimi Nataka Speed Tuu, Kw Sasa Natumia Voda Spidi Yao Kwa Huku Inaniridhisha..Kama Kuna Spidi Zaidi..Nahitaji!!!Gharama zao kubwa hasa kwenye Bundles za Internet,,,though speed ya Internet yao ni nzuri saaana☺😊😊 12mb's/Second
Na nasikia net ni kuanzia 3g kwenda 4g
Ni kweli usemayo kuhusu Zantel ila Shida yao Zantel mpaka uweze kupata vifurushi vyao hizo proces zina kona na vyumba kibao, unaweza kuahirisha na kuishia njiani. Mbaya zaidi eti uwe na line yao ya simu (Sijui kama utaratibu huu bado upo) na kingine wao wanakamata data kwenye manispaa tu.
Line ni buku tu.... Vocha unapata hata nmb mobile... Mtandao upo kila kona kila siku wanakupa 50mb offer
Pombe ileile tofauti chupa.
Hivi Mr. President??? Ulipoingia madarakani kwa sh. 500 ilikuwa mb300 leo mb1???
Nitakukumbuka sana.
Nimeweka katika feature phone kufika saa 3 usiku line haisomi inaniletea ujumbe "sim reg failed" nikaitoa na kuweka kwenye smart phone ikawa inapiga mzigo fresh.
Jamaa wapo vizuri kwenye 3G ila 2G ni majanga
line zao ni vimeo, hawajaplate ile rangi kama ya dhahabu sijui kuwe na technolojia waliyoitumia ambayo siifahamu ila inavyoonekana zitakuwa zinasumbua kihardware na kuharibika kirahisi kimazingira, vitu kama kutu, mikwaruzo na kugoma goma vitakuwa vya kawaida. ila mwisho wa siku itakuja kwenye utunzaji wako mwenyewe
Mkuu nilinunua line tatu Jana na moja ikiwa ya freelancers ila sijui napataje menu zao za kuangalia Salio la dk na data. Nataka nijue nilipata GB ngapi