Uchambuzi kitabu cha Mwinyi: Niliepuka kubishana, kumkosoa Nyerere hadharani

Sasa kwa nini hakumshauri mwendazake jiwe kuacha kuwasema vibaya majikwaani viongozi waliostaafu na kila siku kazi yake ilikuwa kusema nchi imeliwa sana wengine hawajafanya anayofanya yeye?

Instead aliishia kusema aongezewe muda, hiki kizee bado kinanichefua sana
Hapo sasa,hao ndio wazee wa pwani,unafiki unafiki tu.
 
Back
Top Bottom