Uchakachuaji wa wazi kwenye picha ya meli iliyozama zanzibar

Yani kweli vyombo vya habari vimejaa mazuzu mana hata ile ajali ya bac la grazia mavyombo yote na magazeti eti waliandika bac imetoka mbeya wakati ni bac ya njombe cha kushangaza sasa hata waaribu kiac gani huwaga hayajui kuomba msamaha hata kidogo wenyewe ni mbelel kwa mbelekwa mbele.
 
.....du we mkali sana. Afu hv ulikua unatafuta nn mpaka ukakutana na hii picha mkuu? Ndo mana naipenda jamii forum.

...Mi nlisha-mshauli mkuu wa mapongo Mr Mwema, awalete vijana wake huku JF tuwafundishe 'ITEREJENSIA' ya ukweli!...vichwa hilivyoko hapa JF ata FBI wanavikubali...
 
Hata mimi nilishangaa sana kuona hiyo meli. je, Hiyo picha ya mv islanders wakati imebinuka ilipigwa na nani? na ipoje? waokoaji wetu wa mwanzo hawakuiona meli walipofika eneo la tukio , sasa picha imetoka wapi?
 
ILE PICHA INAYOONESHA KUWA NI PICHA YA MELI ILIYOZAMA KULE UNGUJA
KUMBE NI UWONGO.ILE NI PICHA YA MELI ILIYOZAMA HUKO UFILIPINO TAR
31/07/2011.KWA TAARIFA ZAIDI FUNGUA HII LINK HAPA CHINI UJIONEE JINSI
TULIVYOPIGWA CHANGA LA MACHO

United Filipino Seafarers

Wanachoamini watanganyika wote ni MAZUZU isipokuwa wao wachache tu. Masaburi yao. Meli limejaa watu liko chini ya bahari huko wanadanganya eti hakufikiki ili dunia isijue aibu yao. Kuna watu lukuki kwenye meli wako chini ya bahari wawatoe.. Nasema tena masaburi yao
 
ILE PICHA INAYOONESHA KUWA NI PICHA YA MELI ILIYOZAMA KULE UNGUJA
KUMBE NI UWONGO.ILE NI PICHA YA MELI ILIYOZAMA HUKO UFILIPINO TAR
31/07/2011.KWA TAARIFA ZAIDI FUNGUA HII LINK HAPA CHINI UJIONEE JINSI
TULIVYOPIGWA CHANGA LA MACHO

United Filipino Seafarers

hivi kuna watu waliamini ile picha ni ya meli ya Zanzibar? Come on guys.
 
aiseeeee duuu hiii hatari sasa, hivi vyombo vyetu vipi jamani!!
 
Picha ile ilianza kutumiwa hapa JF, vyombo vya habari vya IPP na magazeti ya udaku kwa saaana

nikashangaa Spice islander kweli hii mbona imefunikwa yote wakati yenyewe ina cargo mbele na nyumba kwa ajili ya kubeba magari na mzigo mingineyo. walitoa maktaba wakabandika, watz mazuzu
Acha uongo!
 
Back
Top Bottom