Uchakachuaji wa wazi kwenye picha ya meli iliyozama zanzibar

Du! We jamaa unastahili pongezi, baadh ya watz kweli wanasoma, viva jf.
Aaah wapi!!,
Hii kitu nakumbuka aliipost User moja anaitwa Shark halafu mod wakaiunganisha na mada kuu ya kuzama kwa meli,
Possible jamaa kadesa kule,
Ushauri wangu kwa Mods waitoe kule ile topic ya Shark ya kuchakachuliwa kwa picha waiunganishe na hii,
Otherwise na hii nayo waiunge kule kwenye mada kuu pale juu.
Zaidi ya hapo Mods watakua wamechemka tu!!
 
wachakachuaji walioenda shule huwa wanaandika hivi "picha kutoka maktaba"
 
Ni kosa la media zetu.
Kwanza iliwekwa na Television ya the citizen Kenya,kisha ITV na baadaye mahgazeti ya TZ hasa Tanzania Daima NK
Kwa kweli ni aibu sana,nimeumia sana
at
kaka nadhani wewe ni mwana media tatizo ni nin kwenye media house?
mtwambie ukweli kuna shida hapa
 
Aaah wapi!!,
Hii kitu nakumbuka aliipost User moja anaitwa Shark halafu mod wakaiunganisha na mada kuu ya kuzama kwa meli,
Possible jamaa kadesa kule,
Ushauri wangu kwa Mods waitoe kule ile topic ya Shark ya kuchakachuliwa kwa picha waiunganishe na hii,
Otherwise na hii nayo waiunge kule kwenye mada kuu pale juu.
Zaidi ya hapo Mods watakua wamechemka tu!!
Thanks kwa kuliona hilo bro,
Wakati kwenye thread ya kwanza nlilalamika jinsi walivyochakachua picha,
Now nalalamika mods kuichakachua ile thread!!
 
tatizo waandishi makanjanja wa bongo wavivu wa kutafuta habari washazoea kucopy na kupaste tu hawafikiliii kabisa wakipata habari ni kucopy hasa hizi blog kila siku zinazaliwa sijui ata inakuaje kila mtu anataka kuwa na blog alf habari ndo hizo hizo tumewachoka blog imekuwa fashion achani uvivu fikilie vitu vya maendeleo
 
aisee,pole sana papa! kwa hiyo ni uchakachuaji juu ya uchakachuzi? sijui tunaenda wapi manake safari yenyewe ishachakachuliwa!
Thanks kwa kuliona hilo bro,<br />
Wakati kwenye thread ya kwanza nlilalamika jinsi walivyochakachua picha,<br />
Now nalalamika mods kuichakachua ile thread!!
<br />
<br />
 
Nimeshabishana watu mpaka mishipa imenitoka watu wanang'ang'ania kuwa ile ndiyo meli iliyozama Zanzibar. Asante kwa kusahihisha.
 
hivi kuna watu waliamini ile picha ni ya meli ya Zanzibar? Come on guys.
Kwa mimi sikuweza kuamini hata kidogo kwa maswali kadhaa niliyojiuliza:
muda meli imezama ni usiku picha imepigwa kumeshakucha!
Masalia ya mizigo haionekana!
Meli ya zanzibar ilizama kwa kubinuka kinyume kwanza sasa hii imelala kiubavu!
Nilisikitika sana kwa kweli.
 
aisee,pole sana papa! kwa hiyo ni uchakachuaji juu ya uchakachuzi? sijui tunaenda wapi manake safari yenyewe ishachakachuliwa!
We acha tu king'asti wangu,
Nilitoa same thread na hii wakaiunga kwenye topic ya kuzama kwa meli,
Sasa hii thread "muendelezo" wa ile bado inadunda tu peke yake.
 
Back
Top Bottom