Uchakachuaji wa wazi kwenye picha ya meli iliyozama zanzibar

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,016
649
Ni kosa la media zetu.
Kwanza iliwekwa na Television ya the citizen Kenya,kisha ITV na baadaye mahgazeti ya TZ hasa Tanzania Daima NK
Kwa kweli ni aibu sana,nimeumia sana

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,414
196
au ilianza dah!? Naona hata aibu mimi utadhani mi ndo namiliki hii mivyombo mikanjanja ya habari. Kwanza nlitaka kushangaa meli kubwa kama ile nzuri tuitoe wapi?

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
418
81
ILE PICHA INAYOONESHA KUWA NI PICHA YA MELI ILIYOZAMA KULE UNGUJA

KUMBE NI UWONGO.ILE NI PICHA YA MELI ILIYOZAMA HUKO UFILIPINO TAR

31/07/2011.KWA TAARIFA ZAIDI FUNGUA HII LINK HAPA CHINI UJIONEE JINSI

TULIVYOPIGWA CHANGA LA MACHO

United Filipino Seafarers

.....du we mkali sana. Afu hv ulikua unatafuta nn mpaka ukakutana na hii picha mkuu? Ndo mana naipenda jamii forum.

bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
4,504
2,501
Leo jioni nilisikia mdau mmoja wa Clouds akizungumzia hilo na halafu akawaambia watangazaji wa Clouds kuwa amewatumia picha halisi ya spice islanders.

Tafadhali watupostie hapa kwenye forum.

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,262
837
Picha ile ilianza kutumiwa hapa JF, vyombo vya habari vya IPP na magazeti ya udaku kwa saaana

nikashangaa Spice islander kweli hii mbona imefunikwa yote wakati yenyewe ina cargo mbele na nyumba kwa ajili ya kubeba magari na mzigo mingineyo. walitoa maktaba wakabandika, watz mazuzu

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,878
3,721

.....du we mkali sana. Afu hv ulikua unatafuta nn mpaka ukakutana na hii picha mkuu? Ndo mana naipenda jamii forum.

JF ndio mtandao wa ukweli sasa mnaona serikali inavyoumbuka hata pengine viongozi hawajui kuwa ile picha sio ya meli iliyozama Nungwi!! Hili ndilo linaloiwekka JF juu na viongozi kuchungulia humu ili kupata mafundisho; keep up the good work wanajanvi.

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,990
4,500
Picha ile ilianza kutumiwa hapa JF, vyombo vya habari vya IPP na magazeti ya udaku kwa saaana

nikashangaa Spice islander kweli hii mbona imefunikwa yote wakati yenyewe ina cargo mbele na nyumba kwa ajili ya kubeba magari na mzigo mingineyo. walitoa maktaba wakabandika, watz mazuzu
Acha uongo wako tupe link ya JF yenye picha hiyo na trh na muda maana post zote zina muda wake.

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,442
2,466
maajabu hata michuzi nae aliweka hii picha na akaandika ndio meli ilozama pale nungwi wajamini alijua watz bado hatusomi vitabu kwa hivo hatutasoma hata mitandao mingine, inauma sana,mwenye kujua namna ya kutuma hii picha hebu amtumie michuzi na kumweleza aache kupotosha umma, viva JF,ulotoa hii thread ngekuwa katibu ungekula bia na ndafu.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

3 Reactions
Reply
Top Bottom