Uchaguzi wa TFF na uchaguzi mkuu wa Tanzania usanii ni ule ule

Uchaguzi wa TFF na uchaguzi mkuu wa Tanzania usanii ni ule ule

evangelical

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
5,970
Reaction score
9,898
Ila sisi watu weusi sijui tumelaaniwa yaani watu na akili zao wanaamua kuweka mfumo wa uchaguzi wa kinafki .
Halafu wanashupalia kichwa kwamba uchaguzi ni wa uhuru wa haki na kidemokrasia.
Yaliyofanyia TFF ni mambo ya ajabu sana , napo kuuli mbiu ya No Reforms No Election ifanyike haraka kwenye huo uchaguzi
 
Back
Top Bottom