Uchaguzi wa 2025 utakuwa mgumu sana kwa pande zote

Hakuna Chaguzi ambazo Vyama vya Upinzani havijashiriki, na kushinda kwa nafasi za Ubunge au udiwani, ama mnataka kushinda Urais ndio tuseme chaguzi zilikuwa huru na Haki??
Za mwaka huu ambao Watanzania wamepiga kura ili kutimiza wajibu na kuwahadaa jumuia za kimataifa lakini tayari before washindi walikuwepo mfukoni.
 
Dondoo za Rais kuhusiana na Uchaguzi wa 2025 : Mtia nia Lazima awe "kijana".
 
Kama hakutakuwa na mabadiliko ya taratibu za uchaguzi, basi CCM wataendelea kutamka na kisha itakuwa.
 
Nakutakia mapumziko mema na mafanikio huko uendako, pia ufanikiwe kutimiza ndoto yako ya kugombea Ubunge.
Moja kati ya positive members, kwakweli huwa unanifurahisha sana.

Tubishane kwa hoja sio matusi na wewe ni Balozi wa mijadala ya hoja.

Asubuhi njema.
 
Wakati naelekea kukabidhi kijiti kwa vijana wenzangu kukisemea chama na Serikali mitandaoni nimeona nitoe mtazamo wangu kuhusiana na Uchaguzi wa 2025, ambao Mwenyenzi Mungu akijaalia natazamia kushiriki kama mgombea kupitia moja ya majimbo Nyumbani Arusha.

Kwanza nitoe Pongezi kubwa kwa Mh. Rais na Mama Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi wa 2020 kwa kishindo, napenda kusema tu kwamba lengo limetimia. A Job Well Done.

Pili napenda kugusia Uchaguzi wa 2025 Hasa kwa Ngazi ya Urais kwani Rais aliyepo Madarakani anamaliza Muda wake hivyo hakutategemewa uwepo wa Mgombea mwenye faida ya Uzoefu wa nafasi hiyo.

Katika kundi la watia nia kwa 2015 ndilo litakalotupa mwangaza wa nani hasa atayekuwa na nafasi kubwa ya kushika hatamu kwa nafasi ya Urais.

Majina ni mengi ila kwa Uchache tu, Mwigulu Nchemba, January Makamba, Amina Salum, Benard Membe, Dr. Asha Rose Migiro , n.k.

Kwa kuangalia Orodha hiyo utaona kwamba wapo ambao wamebakia kwenye active politics na wapo ambao hawapo kwenye active politics ama kuhama Chama hivyo kujiondosha katika kinyang'anyiro Cha Urais 2025.

Kwa muda mrefu sasa factors ambazo zimekuwa zikiangaliwa ukiachana na nyingine za kawaida kama uzalendo , uwajibikaji, kutokuwa na kashfa za kimaadili, zimebakia kuwa ni Dini na Ukaazi (Islam/Christian / Utanganyika/Uzanzibari) hizo ndio zimekuwa major determinant factors.

Ukiachana na majina yaliyojitokeza kutia nia 2015 kuna Baraza la Mawaziri Litalotajwa hivi karibuni. Naamini tukiangalia humo tutapata picha ya yule atayerithi kiti 2025.

Baraza la Mawaziri la 2025 ni muhimu Sana kwa Rais, Serikali, Chama na Jamii.

Baraza la Mawaziri la 2020-2025 litatoa dira kwa chama kwa Uchaguzi wa 2025 kwani hii ndio engine ya utekelezaji wa sera za chama.

Baraza la Mawaziri la 2020-2025 litamuweka karibu na Rais, Mgombea wa 2025 kwani atapata nafasi ya kujifunza toka kwa mtangulizi wake ili kumuwezesha kurithi kiti na kuendeleza yale atayoyakuta kwa ufasaha.

Baraza la 2020-2025 linapaswa kuwa na watu watulivu ambao hawana tamaa ya madaraka kwani kwa kiasi kikubwa badala ya kumsaidia Rais , watakuwa wanafanya mambo ili kujiweka katika nafasi ya kurithi uongozi 2025.

Ni katika Baraza la 2020-2025 ndipo tutapata nafasi ya kuchuja na kuona kwa uwazi wale wote watakao tia nia 2025.

Uchaguzi wa 2025 Utakuwa Mgumu kutokana na sababu zifuatazo:

1. CCM itataka kumaintain Ushindi wake wa 84%.

2. Vyama vya Upinzani vitataka kurejesha viti ilivyovipoteza.

3. Kutakuwepo kwa ongezeko la wagombea ndani ya CCM na nje ya CCM wenye sifa za kutwaa nafasi mbali mbali hivyo kufanya mnyukano kuwa mkali.

4. CCM imeshika Bunge na Serikali za Mitaa hivyo kama ikifanya vyema itaipa tabu Sana upinzani, ila pale ambapo ikikosea basi itakua nafuu kwa upande wa pili.

5. Mnyukano wa Nafasi ya Urais ndani ya CCM unaweza kuacha ufa ambao utawapa nafasi upinzani kujiimarisha.

Ukiachana na mambo yote hayo niliyoyataja hapo juu, Bado influence ya kiongozi wa sasa ni kubwa kwa mrithi wake.

Wakati tunaangalia nani wa kurithi nafasi ya Urais 2025 inapasa tuwe na majibu ya maswali haya.

1. Matarajio ya wananchi ni yapi kwa Rais ajaye??
2. Nani mwenye sifa za kukidhi matarajio hayo ya wananchi.
3. Nani mwenye uwezo wa kuendeleza haya yanayofanyika sasa.

Majibu ya maswali hayo yatatusaidia kupata mtu, mwenye Sifa zifuatazo;

1. Muwazi.

2. Muwajibikaji.

3. Atayelinda katiba.

4. Atayelinda Rasilimali zetu.

5. Ataye pambana na Rushwa.

6. Ataye hakikisha mafanikio katika nyanja zote za maendeleo. Kilimo,ufugaji,uvuvi,n.k.

7. Ataye boresha elimu, afya etc.

8. Atayetoa na kutengeneza ajira kwa vijana.

9. Ataye hakikisha haki inapatikana kwa kila anayeitafuta.

10. Ataye Linda Muungano.

Itoshe kusema tu kuwa tunakazi kubwa Sana ya kuhakikisha kwamba tunapata mrithi mzuri wa Rais wa sasa na pia mtu ambaye ataendeleza Ushindi wa CCM katika level zote.

Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere aliwahi kusema kwamba CCM imara huifanya Nchi kuwa imara pia.

Tunu muhimu kabisa ya Taifa ni AMANI, watanzania tunatambulika nayo. Tuilinde.

Baada ya kusema hayo, namtakia Rais Magufuli utendaji mwema katika awamu yake hii ya Pili naamini kabisa kwamba atafanya mambo makubwa Sana na kukidhi kiu ya watanzania wengi.

Nachukua Likizo kidogo ya kuwepo active mitandaoni, nimekuwa hapa kwa miaka nane (8) sasa, toka Administration ya JK na sasa JPM.

Kurudi madarakani kwa JPM kumenipa hamasa kubwa ya kuwatumikia wananchi moja kwa moja.

Nataka kuhamisha michango yangu hapa na kuipeleka sehemu nyingine, nitajaribu kupitia Jimbo ambalo nimekua Arumeru Magharibi.

Kwa kuzingatia hilo, nimeona nichukue likizo kidogo niwaachie vijana wenzangu nao kutoa michango yao. Miaka 8 si haba. Nitarudi tena nikiwa Mgombea.

Kila la heri wakuu,

Wenu,

Stroke.
Mkuu stroke nakutakia kila lililo heri,sisi tunaobakia hapa tutaendeleza mijadala yenye staha hapa jukwaani.

Nakutakia mema katika mipango yako 2025.
 
CHADEMA VI WALAGHAI WA SIASA NA NI WAOGA KWELIKWELI NA HAWAISHI KILE WANACHOKISEMA
1. CCM ni WAROHO WA MADARAKA .

2. Ndugai aliapa kuwa JIWE ATAKE ASITAKE LAZIMA BUNGE HILI WABADILI KATIBA AWE RAIS ASIYE NA KIKOMO.

3. Mimi Nadhani Badala ya kuwaza SANA UCHAGUZI ungefikiri zaidi maadui.
UMASIKINI.
UJINGA.
MARADHI.
Je kama nchi tumeweza kupambana nayo kwa kiasi gani KWA MIAKA 60 YA UHURU????

3. NA TATIZO JIPYA LA UDIKTETA.
KUSIFU NA KUABUDU.
KUSIGINA KATIBA.
UTEKAJI NA MAUAJI YANAYOENDELEA.
UKOSEFU WA AJIRA.
Mmomonyoko mkubwa wa maadili nk
KUBAMBIKIWA KESI NK...

HII NCHI NI NCHI MASIKINI ZAIDI DUNIANI NI YA 3 KUTOKA CHINI.
FIKICHA AKILI.CH
 
Nafuatilia kwa karibu Sana Baraza la Mawaziri.

Dalili zimeanza kuonekana .
 
Wakati naelekea kukabidhi kijiti kwa vijana wenzangu kukisemea chama na Serikali mitandaoni nimeona nitoe mtazamo wangu kuhusiana na Uchaguzi wa 2025, ambao Mwenyenzi Mungu akijaalia natazamia kushiriki kama mgombea kupitia moja ya majimbo Nyumbani Arusha.

Kwanza nitoe Pongezi kubwa kwa Mh. Rais na Mama Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi wa 2020 kwa kishindo, napenda kusema tu kwamba lengo limetimia. A Job Well Done.

Pili napenda kugusia Uchaguzi wa 2025 Hasa kwa Ngazi ya Urais kwani Rais aliyepo Madarakani anamaliza Muda wake hivyo hakutategemewa uwepo wa Mgombea mwenye faida ya Uzoefu wa nafasi hiyo.

Katika kundi la watia nia kwa 2015 ndilo litakalotupa mwangaza wa nani hasa atayekuwa na nafasi kubwa ya kushika hatamu kwa nafasi ya Urais.

Majina ni mengi ila kwa Uchache tu, Mwigulu Nchemba, January Makamba, Amina Salum, Benard Membe, Dr. Asha Rose Migiro , n.k.

Kwa kuangalia Orodha hiyo utaona kwamba wapo ambao wamebakia kwenye active politics na wapo ambao hawapo kwenye active politics ama kuhama Chama hivyo kujiondosha katika kinyang'anyiro Cha Urais 2025.

Kwa muda mrefu sasa factors ambazo zimekuwa zikiangaliwa ukiachana na nyingine za kawaida kama uzalendo , uwajibikaji, kutokuwa na kashfa za kimaadili, zimebakia kuwa ni Dini na Ukaazi (Islam/Christian / Utanganyika/Uzanzibari) hizo ndio zimekuwa major determinant factors.

Ukiachana na majina yaliyojitokeza kutia nia 2015 kuna Baraza la Mawaziri Litalotajwa hivi karibuni. Naamini tukiangalia humo tutapata picha ya yule atayerithi kiti 2025.

Baraza la Mawaziri la 2025 ni muhimu Sana kwa Rais, Serikali, Chama na Jamii.

Baraza la Mawaziri la 2020-2025 litatoa dira kwa chama kwa Uchaguzi wa 2025 kwani hii ndio engine ya utekelezaji wa sera za chama.

Baraza la Mawaziri la 2020-2025 litamuweka karibu na Rais, Mgombea wa 2025 kwani atapata nafasi ya kujifunza toka kwa mtangulizi wake ili kumuwezesha kurithi kiti na kuendeleza yale atayoyakuta kwa ufasaha.

Baraza la 2020-2025 linapaswa kuwa na watu watulivu ambao hawana tamaa ya madaraka kwani kwa kiasi kikubwa badala ya kumsaidia Rais , watakuwa wanafanya mambo ili kujiweka katika nafasi ya kurithi uongozi 2025.

Ni katika Baraza la 2020-2025 ndipo tutapata nafasi ya kuchuja na kuona kwa uwazi wale wote watakao tia nia 2025.

Uchaguzi wa 2025 Utakuwa Mgumu kutokana na sababu zifuatazo:

1. CCM itataka kumaintain Ushindi wake wa 84%.

2. Vyama vya Upinzani vitataka kurejesha viti ilivyovipoteza.

3. Kutakuwepo kwa ongezeko la wagombea ndani ya CCM na nje ya CCM wenye sifa za kutwaa nafasi mbali mbali hivyo kufanya mnyukano kuwa mkali.

4. CCM imeshika Bunge na Serikali za Mitaa hivyo kama ikifanya vyema itaipa tabu Sana upinzani, ila pale ambapo ikikosea basi itakua nafuu kwa upande wa pili.

5. Mnyukano wa Nafasi ya Urais ndani ya CCM unaweza kuacha ufa ambao utawapa nafasi upinzani kujiimarisha.

Ukiachana na mambo yote hayo niliyoyataja hapo juu, Bado influence ya kiongozi wa sasa ni kubwa kwa mrithi wake.

Wakati tunaangalia nani wa kurithi nafasi ya Urais 2025 inapasa tuwe na majibu ya maswali haya.

1. Matarajio ya wananchi ni yapi kwa Rais ajaye??
2. Nani mwenye sifa za kukidhi matarajio hayo ya wananchi.
3. Nani mwenye uwezo wa kuendeleza haya yanayofanyika sasa.

Majibu ya maswali hayo yatatusaidia kupata mtu, mwenye Sifa zifuatazo;

1. Muwazi.

2. Muwajibikaji.

3. Atayelinda katiba.

4. Atayelinda Rasilimali zetu.

5. Ataye pambana na Rushwa.

6. Ataye hakikisha mafanikio katika nyanja zote za maendeleo. Kilimo,ufugaji,uvuvi,n.k.

7. Ataye boresha elimu, afya etc.

8. Atayetoa na kutengeneza ajira kwa vijana.

9. Ataye hakikisha haki inapatikana kwa kila anayeitafuta.

10. Ataye Linda Muungano.

Itoshe kusema tu kuwa tunakazi kubwa Sana ya kuhakikisha kwamba tunapata mrithi mzuri wa Rais wa sasa na pia mtu ambaye ataendeleza Ushindi wa CCM katika level zote.

Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere aliwahi kusema kwamba CCM imara huifanya Nchi kuwa imara pia.

Tunu muhimu kabisa ya Taifa ni AMANI, watanzania tunatambulika nayo. Tuilinde.

Baada ya kusema hayo, namtakia Rais Magufuli utendaji mwema katika awamu yake hii ya Pili naamini kabisa kwamba atafanya mambo makubwa Sana na kukidhi kiu ya watanzania wengi.

Nachukua Likizo kidogo ya kuwepo active mitandaoni, nimekuwa hapa kwa miaka nane (8) sasa, toka Administration ya JK na sasa JPM.

Kurudi madarakani kwa JPM kumenipa hamasa kubwa ya kuwatumikia wananchi moja kwa moja.

Nataka kuhamisha michango yangu hapa na kuipeleka sehemu nyingine, nitajaribu kupitia Jimbo ambalo nimekua Arumeru Magharibi.

Kwa kuzingatia hilo, nimeona nichukue likizo kidogo niwaachie vijana wenzangu nao kutoa michango yao. Miaka 8 si haba. Nitarudi tena nikiwa Mgombea.

Kila la heri wakuu,

Wenu,

Stroke.
hahahaaa fanyeni kazi, mtazeeka mnasubiri Urais, poleeni sana
 
Haya yote ya 2025 umepotea, kwanza ndani ya ccm usitegemee kuwepo kambi na kama kambi zikianzishwa, basi tegemea waanzishaji kutupiwa virago faster.Labda nikusaidie tu hii siyo ccm mliyozoea.Kama tunatengeneza Tanzania mpya na vyama lazima vibadilike na kufafanya mambo yake kiupya upya.Hao uliowataja unawatafutia dhahama, na wathubuti kuunda hizo kambi utawasikia. You take or leave
 
Wewe unafahamu nimezoea CCM ya aina gani??

Watu mmejaa ujuaji Sana.

Kuna mahali kwenye bandiko langu nimemuombea mtu nafasi ya Urais??

Mbona mnakuwa wagumu Sana kulewa mambo rahisi namna hii.??
 
Back
Top Bottom