Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa mauaji, ukandamizaji na udikteta
Vyombo vyetu vya habari vilipuuza sana kuripoti habari za matukio ya kutisha yaliyoendelea nchini lakini kimataifa ukweli ulifichuliwa
Hapa ndipo Rais Samia ametufikisha wakuu