Uchaguzi UWT now: ni Sophia Simba Vs Anne Kilango

Wamehonga sana..mama mkwe wangu mtarajiwa kamwambia wife kuwa ye kura yake amepewa laki5
 
wanawake wanaimba ule wimbo maarufu wa SIMBA WA YUDA ANAUNGURUMA,sijajua wanatuma msg gani hapa
 
Namuombea Dua Sophia Simba ashinde.

The Malecela's time is over.
 
wanawake wanaimba ule wimbo maarufu wa SIMBA WA YUDA ANAUNGURUMA,sijajua wanatuma msg gani hapa

Nitashangaa sana kwama Sophia Simba hatoshinda! Having said that both Anne Kilango na Sophia Simba ni janga, kila mmoja anawakilisha mtandao na sio maslahi mapana ya nafasi ya mwanamke katika ustawi wa taifa. Pure tragedy!
 
Kwa nionavyo huyu simba atashinda
 
Reactions: FJM
Namuombea Dua Sophia Simba ashinde.

The Malecela's time is over.

Chezeya Aunt Sophie wewe! YAANI 2015 huu ukoo ndo unapotea kabisa kwenye SIASA za bongo wanaompinga Sophy ni wale wabunge waliotaka Kuwa vitu maalum maisha yeye kaweka ukomo, waingie kwenye majimbo
 
wote wanafanana katika kuropoka na kuporomosha majungu na matusi.
 
kwa news za hivi punde ni kwamba nguvu ya sofia simba ni kubwa sana na anakubalika ndani ya uwt kwa jinsi hali inavyoonekana apa dodoma
 
Nasikia Simba kachapwa makofi na Shy Rose ....demu wa William Malecela.
 
Nitashangaa sana kwama Sophia Simba hatoshinda! Having said that both Anne Kilango na Sophia Simba ni janga, kila mmoja anawakilisha mtandao na sio maslahi mapana ya nafasi ya mwanamke katika ustawi wa taifa. Pure tragedy!

Mkuu, huwezi kuishi kwenye jumuia za ccm kama huna mtandao unaousaidia kwa nguvu zote.

Hiyo ndo formula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…