Uchaguzi UWT now: ni Sophia Simba Vs Anne Kilango

Uchaguzi UWT now: ni Sophia Simba Vs Anne Kilango

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
461
Wadau, mkutano wa 8 wa Umoja wa Wanawake Tanzania(CCM) ndo umeanza punde Dodoma. Moja ya vitu vya msingi leo ni uchaguzi wa mwenyekiti wa jumuiya hiyo taifa.

Mchuano mkali ni kati ya Sophia Simba na Anne Kilango. Ikumbukwe hawa walianza vita na vijembe muda mrefu na wamekuwa na tofauti za kisiasa na uhasimu wa wazi kabisa.

Suala la nani ataibuka kidedea leo linasubiriwa kwa hamu sana na wanazi wa pande zote mbili waliojipanga hasa katika kila idara kuanzia majungu,rushwa,fitna na... you know what else..

Wajumbe ndio wameingia ndani. Tusubiri.

UPDATES: SOPHIA SIMBA KASHINDA!! KAMGALAGAZA ANNE KILANGO. NI USHINDI MWINGINE KWA KAMBI YA LOWASSA..C
 
WOTE "MACHIZI" yeyote atakayechaguliwa ni sawa tu kwa MAGAMBA
 
Ikumbukwe pia kuna mgombea mwingine, ye ni naibu waziri. Lakini yeye sio popular kwa kuwa hana makundi. Hii inatafsiriwa na watu wengine kuwa amepandikizwa ili kuondoa makundi yanayohatarisha umoja wa UWT. Si ajabu hata yeye akashinda. Hii ni pacificm theory. Yani kupreserve amani na utulivu na kuondoa makundi ndani ya jumuiya,then yeye ni candidate muafaka.
 
Afadhali huyu shangingi Sofia aondoke ingawa wote ni gambaz
 
Nyerere angekuwepo, watu kama Sofia Simba..wangeishia kuwa makatibu tarafa tu.
 
“uwezo wa kukitetea chama ninao,na uwezo wa kukivusha 2015 ninao“ By Anne Kilango
 
Wote ni wezi kwa maana ya wanasaidiwa na makundi OVU ambayo yanawasukuma kwa nyuma ila ss tukiangalia twamuona Anna kilango vs Sophia (a.k.a mama wa Mitusi)
 
Ikumbukwe pia kuna mgombea mwingine, ye ni naibu waziri. Lakini yeye sio popular kwa kuwa hana makundi. Hii inatafsiriwa na watu wengine kuwa amepandikizwa ili kuondoa makundi yanayohatarisha umoja wa UWT. Si ajabu hata yeye akashinda. Hii ni pacificm theory. Yani kupreserve amani na utulivu na kuondoa makundi ndani ya jumuiya,then yeye ni candidate muafaka.

Huyu ndiye tunayemataka
 
Wote ni wezi kwa maana ya wanasaidiwa na makundi OVU ambayo yanawasukuma kwa nyuma ila ss tukiangalia twamuona Anna kilango vs Sophia (a.k.a mama wa Mitusi)
 
Wote wawili ni MAGAMBA ila kwa kuwa mshindi lazima apatikane ,wapiga kura wataamua KATI YA CHOO CHA SHIMO AU CHA KUKAA ,kutegea na ulivyozoea.
toka jana sijacheka shauri ya hawa ma alshababu na al uamsho,umenichekesha kweli!
 
Vote for Sophia Simba.

Molemo nakuheshimu sana. hao mama wote wawili hawafai usipoteze kura yako bure ya hapa JF ni bora ukawaacha wafu wazikane wenyewe.

Kaa pembeni kama huna mgombea tizama kwa mbali wakichaguana wao
 
“uwezo wa kukitetea chama ninao,na uwezo wa kukivusha 2015 ninao“ By Anne Kilango

uwezo wa kuwa First Lady ninao,na uwezo wa kukivusha chama 2005 ninao“ By Anne Kilango.

Kauli mbiu yake mwaka 2005.
 
uwezo wa kuwa First Lady ninao,na uwezo wa kukivusha chama 2005 ninao“ By Anne Kilango.

Kauli mbiu yake mwaka 2005.

I should also add: na uwezo wa kukibomoa chama pia anao!
 
Back
Top Bottom