Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,272
Siyo nje ya mada unafanya figisu makusudi unakuja na hoja mfu huo ni upuuzi,pili kuhusu ukomo wa uongozi wake uko mikononi mwa mwa wanachama wa chadema,kama wanachama hawamtaki watachagua wanayeona anafaa kuwaongoza kama Mbowe alivyowaongoza na si mashinikizo kutoka chama cha kihuni kihuni ccm kuwapangia chadema cha kufanya.Kwa hiyo ni mwenyekiti wa kudumu?
Habari ya Hotel na mashamba ni nje ya mada.
Mwanachadema wewe kua muelewa.Bora ukweli ujulikane nani alisababisha tukashindwa.
Unastahili upewe uenyekiti kwakweli...hiki ndio kitu nimekuwa nawashauri ile CDM ya wakina Dr. Slaa ilikuwa ndio upinzani kweli kweli, sasa hivi mnahitaji mawazo mapya kabisa.Kichwa cha habari chajieleza.
Ukweli ni kuwa hakuna tutachoambulia zaidi ya wabunge viti maalumu wapatao 19.
Kubaki tunapiga kelele kuwa uchaguzi ulivurugwa haiwezi kutusaidia.
Kilichobaki tujitathimini tutaweza kusimama tena?
Nani alisababisha tukapoteza nanma hii? Atupishe haijalishi kama ni Mbowe au nani.
Huu ni ujumbe mujarabu kwa chama changu CHADEMA.
Watumie mataga wenzako haya maelezo mjitathimini nyie CCM.Hili linauhusiano na kujitathimini kwa chama chetu?
Sawa kabisa. Uchafuzi umeisha. Tumebaki na mafua. Tyaaaa!Kichwa cha habari chajieleza.
Ukweli ni kuwa hakuna tutachoambulia zaidi ya wabunge viti maalumu wapatao 19.
Kubaki tunapiga kelele kuwa uchaguzi ulivurugwa haiwezi kutusaidia.
Kilichobaki tujitathimini tutaweza kusimama tena?
Nani alisababisha tukapoteza nanma hii? Atupishe haijalishi kama ni Mbowe au nani.
Huu ni ujumbe mujarabu kwa chama changu CHADEMA.
Acha utoto.Sawa kabisa. Uchafuzi umeisha. Tumebaki na mafua. Tyaaaa!
wewe mwanachama wa chato empire na si vinginevyo ongelea mambo ya rubondo na burigi siyo ya chama kitakatifu chadema.Sisi wanachama hatumtaki,ila anafanya mabavu sababu alishageuza Chadema ni mali binafsi ya kwake.
Ni tume ambayo ni Mali ya ccm.huwezi kujipanga kwa mtindo huu.Kichwa cha habari chajieleza.
Ukweli ni kuwa hakuna tutachoambulia zaidi ya wabunge viti maalumu wapatao 19.
Kubaki tunapiga kelele kuwa uchaguzi ulivurugwa haiwezi kutusaidia.
Kilichobaki tujitathimini tutaweza kusimama tena?
Nani alisababisha tukapoteza nanma hii? Atupishe haijalishi kama ni Mbowe au nani.
Huu ni ujumbe mujarabu kwa chama changu CHADEMA.
Hivyo ndio vyombo vya kuibia kura ccm.Mwaka wa uchaguzi wananchi walikiunga mkono chadema sana.Lakini hapamwananchi alikuwa hahusiki vyombo hivyo vilikuwa na kura zaoUko ndani ya CHADEMA, ulishiriki kwenye uchaguzi?
Tupe kwanza maoni yako kuhusu uchaguzi hasa hasa utendaji wa taasisi zifuatazo
1. Tume ya uchaguzi
2. Vyombo vya dola
3. Mahakama
4. Vyombo vya habari
Kwa maelezo haya hakuna tathmini.Kwa kawaida ya chaguzi za Kidemokrasia ni AJABU SANA MBOWE KAMA MWENYEKITI anabaki madarakani baada ya Matokeo mabaya kuliko wakati mwingine wowote tangu demokrasia ya vyama vingi nchini kwetu.
UONGOZI UNASISITIZA KUIBIWA KURA ILI KUKWEPA LAWAMA YA KUSHINDWA VIBAYA NA WAENDELEE KUBAKI MADARAKANI.
Muda sio rafiki tena kwako jiuzuru, mwachie Lissu ama yeyote atakaye saidia kututoa hapa.
manina walahi, jana kuna mdau alikua kwenye kikao cha halmashauri flani wameambiwa wakimkuta mkulima anapeleka mpunga mashine kukoboa wamtoze ushuru, baada yapo wamsubiri tena akiwa anaupeleka huo mchele kuuza au kwenye ghala wamtoze tena ushuru.
wameelekezwa wakikutana na mama na karai la parachichi au hata mkungu mmoja wa ndizi anapeleka sokoni wamtoze ushuru, akifika tena sokoni wamtoze ushuru wa soko.
Wameambiwa wapite mpaka site zote wakachukue ushuru wa mchanga, mawe na kokoto bila kujali kuwa vilishalipiwa kwenye vizuizi.
Yote haya ni kwasababu wahisani wameondoa misaada ya kibajeti na mengineyo kwasababu CCM na mbuzi kama mleta mada walishiriki kuiba kura.
Inshort aliyepoteza kwenye uchaguzi wa October 28 sio Chadema bali ni bibi yako huko namtumbo.
NB:
Kama kuna mtu anamjua mtumishi yoyote wa Halmashauri yoyote amuulize target ya makusanyo mwaka huu waliyopewa na mbinu walizoelekezwa kukusanya ushuru.
Mi5 tena.
Chama chenu chakavu kimegeuka mumiani kunyonya damu za wananchi. Mlaaniwe maccm wooooote.Hili linauhusiano na kujitathimini kwa chama chetu?