Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,342
- 5,140
Haya Upinzani tuachieni wenyewe,nyie endeleeni kula bata, wewe nani asiyekujua huma JF kuwa ni Taga?Upinzanzi hapa Tanzania tunakwama sababu ya kukataa ukweli.
Kama unayo labda zile alizokuwa anachapisha Chakubanga na kufanya hadaa kuwa wapinzani wanahamia CCM.Mimi nina kadi ya Chadema,wewe mpiga domo kaa kimya huna uchungu na Chadema.
Hivi ni kweli hufahamu ni nini kilitokea ama kuchorana.Kichwa cha habari chajieleza.
Ukweli ni kuwa hakuna tutachoambulia zaidi ya wabunge viti maalumu wapatao 19.
Kubaki tunapiga kelele kuwa uchaguzi ulivurugwa haiwezi kutusaidia.
Kilichobaki tujitathimini tutaweza kusimama tena?
Nani alisababisha tukapoteza nanma hii? Atupishe haijalishi kama ni Mbowe au nani.
Huu ni ujumbe mujarabu kwa chama changu CHADEMA.
Achana na huyo buku7 wa ChakubangaHivi ni kweli hufahamu ni nini kilitokea ama kuchorana.
Hajui anachokiongea!!!!Hivi ni kweli hufahamu ni nini kilitokea ama kuchorana.
Mateka wa akili ni wakuwahurumia.Kwa kawaida ya chaguzi za Kidemokrasia ni AJABU SANA MBOWE KAMA MWENYEKITI anabaki madarakani baada ya Matokeo mabaya kuliko wakati mwingine wowote tangu demokrasia ya vyama vingi nchini kwetu.
UONGOZI UNASISITIZA KUIBIWA KURA ILI KUKWEPA LAWAMA YA KUSHINDWA VIBAYA NA WAENDELEE KUBAKI MADARAKANI.
Muda sio rafiki tena kwako jiuzuru, mwachie Lissu ama yeyote atakaye saidia kututoa hapa.
Uko ndani ya CHADEMA, ulishiriki kwenye uchaguzi?Kichwa cha habari chajieleza.
Ukweli ni kuwa hakuna tutachoambulia zaidi ya wabunge viti maalumu wapatao 19.
Kubaki tunapiga kelele kuwa uchaguzi ulivurugwa haiwezi kutusaidia.
Kilichobaki tujitathimini tutaweza kusimama tena?
Nani alisababisha tukapoteza nanma hii? Atupishe haijalishi kama ni Mbowe au nani.
Huu ni ujumbe mujarabu kwa chama changu CHADEMA.
Kamanda mbona unakuwa mkali?Acha ujinga.
Lengo lenu ni kuona Mbowe anaachia uenyekiti chadema ili mpeleke majitu kama akina mashinji na mwanze kuipangia chadema mikakati yenu ya kishamba,Mbowe kawakosea nini??Kwa kawaida ya chaguzi za Kidemokrasia ni AJABU SANA MBOWE KAMA MWENYEKITI anabaki madarakani baada ya Matokeo mabaya kuliko wakati mwingine wowote tangu demokrasia ya vyama vingi nchini kwetu.
UONGOZI UNASISITIZA KUIBIWA KURA ILI KUKWEPA LAWAMA YA KUSHINDWA VIBAYA NA WAENDELEE KUBAKI MADARAKANI.
Muda sio rafiki tena kwako jiuzuru, mwachie Lissu ama yeyote atakaye saidia kututoa hapa.
Upinzanzi hapa Tanzania tunakwama sababu ya kukataa ukweli.
Kwa kawaida ya chaguzi za Kidemokrasia ni AJABU SANA MBOWE KAMA MWENYEKITI anabaki madarakani baada ya Matokeo mabaya kuliko wakati mwingine wowote tangu demokrasia ya vyama vingi nchini kwetu.
UONGOZI UNASISITIZA KUIBIWA KURA ILI KUKWEPA LAWAMA YA KUSHINDWA VIBAYA NA WAENDELEE KUBAKI MADARAKANI.
Muda sio rafiki tena kwako jiuzuru, mwachie Lissu ama yeyote atakaye saidia kututoa hapa.
UmeshapanikiAcha ujinga.
Naona CCM mmeanza choko choko, si mmeshinda? Basi tulieni miongoze nchi.Kichwa cha habari chajieleza.