Uchaguzi ujao ni wa muhimu sana! Pengine kupita chaguzi zote toka Uhuru!

Everything speaks for itself! Need I say more?

Uchaguzi huu ccm ni LAZIMA ianguke, suala ni kama watakubali kuachia madaraka kwa amani!

Ni uchaguzi ambao utatupatia UHURU mpya.
Hii post ni reposted. Iliwahi kupostiwa 2015 kabla ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom