Securelens
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 316
- 541
Duh kwa ID name yako ngoja ninyamaze, I may end up exchanging my food of thought with an unmatched one.Aseme nini? Hakuna cha maana kasema pale zaidi ya porojo tu, Tambua kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho na sasa CCM inafika mwisho wake Nchi inaenda kupata uhuru upya tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusi na ndipo utawala wa haki utaingia ikulu kuleta usawa maridhiano ya kitaifa