Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Jf imekuwa platform ya losers kufarijiana kwenye dunia ya kufikirika tu.

Membe amewaambia CCM bila kupasuka kwanza huko kuungana pekee hakuitoi madarakani.
 
Mbona alidhihirisha kuviogopa kwa kuvinyima uhuru wa kujijenga. Sasa kamasi zitamtoka
Mhe.JPM ni mwanamapinduzi "reformer" nadhani hapa lengo ni kubadirisha utamaduni , kutoka kufanya siasa yaani kampeni miaka yote mitano na kuafanya wakati wa kampeni na kutekeleza baada ya uchaguzi kwa waliopewa ridhaa yaani Rais, Mbunge, Diwani, Mwenyekiti wa Mtaa, Kitongoji, Kijiji kwenye eneo lake. Hata Marekani kina Biden wameamka sasa hivi kabla Trump alikuwa anatekeleza Ilani tu! Sisi ni Nchi changa inahitaji tutumie muda mwingi kufanya kazi i.e. "Hapa kazi tu", siyo kila saa siasa, maandamano, kuombea Serikali ishindwe, kucheza pool, bao , udalali harafu tunatarajia kuapata maendeleo,Never. Nadhani ipo haja ya kubadiri utamaduni huu!
 
Kwel nmeamn mtu akizeeka pia akili huzeeka
MAGUFULI: Kuna vitu vinareflect moja kwa moja kwake. Kutekwa na kupotezwa kwa watu kama Bensaa8, Azory, Kanguye, Aquilina, na wengine. Jaribio la mauaji ya Lissu bungeni linareflect kwake moja kwa moja. Udikteta, hofu, ubabe, matumizi mabaya ya madaraka, uonevu, kutoajiri, kutopandisha mishahara, kukosa haki, kudhoofisha bunge, kuondoa tume ya mipango na madhaifu mengi yanayosababisha hata wana ccm wasimchague.

CCM: Kimekufa tangu mashinani. CCM ya leo sio ile ya miaka 10 iliyopita. Ni chama kilicho na viongozi tu bila wanachama. Ukweli huu ulisababisha ccm iteke uchaguzi wa vijiji na vitongoji kwa maana ingeambulia patupu. Hii imesababisha kusafirisha watu kwa malori kutoka mbali ili kujaza mikutano ya Magufuli, kutembea na Wasanii nguli ili angalao kuvutia hadhira, pake Uwanja wa Ben Mkapa ilikuwa aibu kubwa kwa kuwa baada ya muziki umati ulianza kutawanyika, kama sio askari kufunga mageti angeachwa na wana ccm wachache uwanjani. Maeneo mengine ilibidishule zifungwe na wanafunzi wavalishwe tisheti na kofia. Wengine zilikuwa zinapwaya kabisa. CCM haina wanachama.

Ni vizuri kujitia moyo lakini ukweli hali ya ccm ni mbaya.
 
Chadema hawajajipanga.
Uchaguzi huu watashindwa vibaya zaidi.

Wajifunze kwa ajili ya chaguzi zijazo.
Kama hawaja jipanga mna ogopa nini, mnawasanii kibao katika kampeni, watu wanakuja kuwaona wasanii tu , pigeni kampeni kavu kama Chadema,na vyama pinzani muune kama kutakuwa na watu wengi huko
 
Nani anayeogopa kati ya CCM na CDM, umeskia CCM wamilalamika au wakiwa na hofu ya kushindwa, nyie so ndio kila siku matamko, Mara wapiga kura hewaz Mara vituo hewa Mara mkishindwa hamkubali, umeskia CCM wakizungumzia swala la kushindwa katika mkutuno hata Mmoja.
 
Jf imekuwa platform ya losers kufarijiana kwenye dunia ya kufikirika tu.

Membe amewaambia CCM bila kupasuka kwanza huko kuungana pekee hakuitoi madarakani.
Well said, kuanzia 2010 hawa njemba humu jamvini huwa wanashinda Uchaguzi saa 4 asubuhi!
 
MAGUFULI: Kuna vitu vinareflect moja kwa moja kwake. Kutekwa na kupotezwa kwa watu kama Bensaa8, Azory, Kanguye, Aquilina, na wengine. Jaribio la mauaji ya Lissu bungeni linareflect kwake moja kwa moja. Udikteta, hofu, ubabe, matumizi mabaya ya madaraka, uonevu, kutoajiri, kutopandisha mishahara, kukosa haki, kudhoofisha bunge, kuondoa tume ya mipango na madhaifu mengi yanayosababisha hata wana ccm wasimchague.

CCM: Kimekufa tangu mashinani. CCM ya leo sio ile ya miaka 10 iliyopita. Ni chama kilicho na viongozi tu bila wanachama. Ukweli huu ulisababisha ccm iteke uchaguzi wa vijiji na vitongoji kwa maana ingeambulia patupu. Hii imesababisha kusafirisha watu kwa malori kutoka mbali ili kujaza mikutano ya Magufuli, kutembea na Wasanii nguli ili angalao kuvutia hadhira, pake Uwanja wa Ben Mkapa ilikuwa aibu kubwa kwa kuwa baada ya muziki umati ulianza kutawanyika, kama sio askari kufunga mageti angeachwa na wana ccm wachache uwanjani. Maeneo mengine ilibidishule zifungwe na wanafunzi wavalishwe tisheti na kofia. Wengine zilikuwa zinapwaya kabisa. CCM haina wanachama.

Ni vizuri kujitia moyo lakini ukweli hali ya ccm ni mbaya.
Hii imekaa ki hisia zaidi kuliko uhalisia!
 
Unaweza elewa kwa picha sasa.
JamiiForums576320130.jpg
 
Kati ya watu saba wanaokuwepo kwenye mikutano yenu , wawili ndio wenye sifa za kupiga kura.
Naomba uthibitisho? CCM ina mashina, matawi kila mahali, ina wanachama wengi na oganizesheni nzuri, tunashindwaje?! Wananchi ukiacha walio na mgongano wa maslahi na kazi ya JPM wataipigia kura CCM, inashindwaje?! Wapo watu mfano wenye vindenge vyao hawataki Serikali iwe na ndege, wenye mabasi na magari ya mizigo hawapendi treni ifanye kazi, wenye vyeti feki walitamani waendelea kuhodhi ajira, wenye shule binafsi wanachukia Serikali ikijenga na kuboresha Elimu au huduma za afya, kwa sababu ya mgongano wa kimaslahi. Serikali itaendelea kutoa huduma sambamba na sekta binafsi. JPM hataki Serikali ifungwe kamba/pingu ili sekta binafsi ifanye ndiyo tofauti. Kuhusu watoto kwenda ni kuwa CCM ni ya wote, Chipukizi, Vijana, Wazazi, wanawake, Wazazi nk. Na nyie wasiojiandisha
 
Nimekuwekea picha ili uweze kuisoma na kuielewa badala yake unaniletea data ambazo siwezi kiziona.
 
Nyie wapuuzi kweli, hizo wangekuwa wamevaa jezi za CDM mngeziandikia Uzi kabisa kuwa CDM inapendea hadi watoto. Mikumi Oyeee!
 
Usiseme nyie, kama umeona ni fahari kunitukana basi nitukane mimi kwani haya ni maoni yangu ambayo sijajadili na mtu.
Naamini nina uhuru wa kutoa maoni yangu kitu ambacho wewe haukipendi
. Ila panic yako inaonyesha ni kiasi gani umezidiwa ndo maana unatokwa povu.
 
Back
Top Bottom