Uchaguzi Serikali za Mitaa (U-turn)

Yacoubu

Member
Nov 23, 2019
29
123
Kutokana na uchache wa waliojiandikisha na (hopefully) watakaopiga kura.

Wale ma-stering wa KUHAMISHA ATTENTION hawajabaki nyuma. Safari hii wamekuja na hii.

"Jumapili hii Rais anapokea gawio ambalo kimsingi ilibidi lifanyike Jumatatu tarehe 25. Kwa vile leo ni siku ya kupiga kura, anataka ku shift attention ili watu waangalie live (wasahau uchaguzi) kisha Jumatatu magazeti yaripoti kuhusu gawio badala ya kuripoti watu wachache watakao kuwepo kwenye vituo vya kupiga kura".

MAENDELEO YANA VYAMA
 
Aibu ya mwaka imewapata........

Hao CCM wafanye kila aina ya ubabe kuuharibu uchaguzi huu, halafu wategemee, watanzania wote ni wajinga, wamiminike kwa wingi katika vituo vya kupiga kura......

No way, safari hii mmepatikana, mwisho wa ubaya aibu!
 
Mkuu umesahau kuwa wana shehena kubwa ya mafuso ya kubebea vijana wa uvccm kuwapeleka kwenye vituo vya kupigia kura na kuonekana watu wamejitokeza vya kutosha?
FB_IMG_1501705533332.jpeg
 
Hongera sana JPM kwa kufanikisha uchaguzi serikali za mitaa Watanzania wanakuelewa sana na hatimae kufanikisha ushindi wa kishindo ccm.... zitasikika sauti za wajinga na wapumbafu.
Bila kusahau azimio la kumpongeza mjengoni.
 
Wajinga ndiyo waliwao............
 
Na hii show ya kupokea gawio ni nonsense. Unnecessary wastage of time and resources.
 
Back
Top Bottom