TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
mkuu usipotezee mada ubongo wako una makamasi nini?
Wezi wa vipusa safiiiiii kama tusker lagger!SOMALIA
mkuu usipotezee mada ubongo wako una makamasi nini?
Chadema inawenyewe hatuwezi kumpa mtu uongozi tusiyemfahamu kuweni makini na hili jambo tunaweza kupoteza chama chetu mikononi mwa watu tusiowajua.....mzee mtei.
Kwa mtu mzima kuwa na hoja kama za mfu unashindwa kuelewa upo kwenye mada gani mkuu rudi kwenye mada.Mi muuwaji wa Tembo wetu na mfadhili wa Alshabab. Lakini cha ajabu bado sisi ni bora ni Katibu wa Magamba. Kinana Rudi Kwenu Somalia
Mkuu maneno yale yalimlenga Zitto Zuberi kabwe kweli Zitto hafahamiki ndani ya CHADEMA au kunani CHADEMA.Lipo wazi ilo Hata MACCM wanajua kuwa CCM inawenyewe, Huwezi kukurupuka from no where na kuja kugombania UongoZi, Ni lazima watu wajilidhishe kuhusu Historia yako.
Naona umeamua kuficha moto mfukoni ngoja tuone kama utadumu nao kabla hujautupa au kukuunguza.Naona umeamua kuvuka daraja kabla hujalifikia
Nenda kwenye neno ufisadi kwani mzee slaa alivyochota pesa za chama na zile kanisa na kugoma kulipa siyo ufisadi?Bange za kuvutia chooni mbaya ....!!suala la uchaguzi linaihusu chadema,na tunazungatia sana utawala bora that's why uki mess up adhabu yako ni kukutimua tu,hata tutaposhikilia dola,ukituhumiwa out na mashitaka juu,ukiwa fisadi tunakuchinja na msumeno wa mbao,ukiwa drug dealer au Jangili kama magamba tunakufilisi na kukunyonga pia kama mhujumu uchumi,Watu kama Azam,kinana ,EL,Mwigulu etc CDM ikishika tu nchi nyie adhabu yenu ndogo ni ICC kwa kesi za uhaini
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umenena kweli mkuu halafu wanajiita wapigania haki za watu kumbe wao ni madikteta.Mh. Mbowe na Dr. Slaa ni Prof. Ibrahim Lipumba wengine. Hawa watu hawana tofauti yeyote na maDictator.
Hata kina Hitler, Musolin na Idd Amin walisema wanapendwa na wananchi wao kama hawa kina Dr. Slaa na Mh. Mbowe wanavyotaka kutuaminisha.
Kudos Ex-Rev.Mi muuwaji wa Tembo wetu na mfadhili wa Alshabab. Lakini cha ajabu bado sisi ni bora ni Katibu wa Magamba. Kinana Rudi Kwenu Somalia
Sasa ndo umedhihirisha your true colors! Nilidhani unahoja, kumbe unachuki binafsi. TchaoNenda kwenye neno ufisadi kwani mzee slaa alivyochota pesa za chama na zile kanisa na kugoma kulipa siyo ufisadi?
Wanajamvi:
Ilikuwa ni tetesi lakini sasa lipo bayana chadema kimeshindwa kufanya uchaguzi wa ndani ya chama hicho kutokana na mwenyekiti na katibu wake kuendelea kupanga mipango ya kubaki madarakani bila ya kufanya uchaguzi.
vyanzo vya habari toka ndani ya chadema vimepasha kuwa mbowe na slaa hawako tayari tena kufanya uchaguzi badala yake wanasubiri wakati fulani ufike ili wafanye marekebisho kwenye katiba ya chama ili wao iwaruhusu kukalia nafasi zao mpaka 2015.
kufanya marekebisho kwa katiba kunasukumwa na sheria ambayo wao wameitunga kuwa kila baada ya miaka mitano uchaguzi lazima ufanyike hivyo kutofanya uchaguzi kunaweza kuwabana kisheria ambapo ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa itaweza kuwabana kwa kosa hilo ndiyo maana inabidi wafanye marekebisho ya
katiba na kanuni zao ili kukwepa rungu la msajiri,
kwa sasa viongozi wa juu wa chadema watabaki bila kubadilika hii ni pamoja na viongozi wa mabaraza kama bawacha na bavicha,kwa wale ambao walikuwa na ndoto za kugombea uongozi ndani ya chadema kama kijana mwenzetu ben saanane na zitto kuweni wapole mtafute kazi zingine za kufanya au mhamie chauma na ADC ambao watafanya uchaguzi mda siyo mrefu,
kwa sasa kinachofanyika kwa mbowe na slaa ni kujenga ngome zao kila mmoja ili kujiimarisha ndani ya chama na kuwa na viongozi wengi wa kuwatetea kwenye vikao ndiyo maana mzee slaa kila akifanya ziara sehemu yoyote anatimua uongozi wote badaye anaweka watu wake si mda mrefu hali hii imetokea kyela.
Chadema inawenyewe hatuwezi kumpa mtu uongozi tusiyemfahamu kuweni makini na hili jambo tunaweza kupoteza chama chetu mikononi mwa watu tusiowajua.....mzee mtei.
Mkuu maneno yale yalimlenga zitto zuberi kabwe kweli zitto hafahamikimndani ya chadema au kunani chadema.
Mi muuwaji wa Tembo wetu na mfadhili wa Alshabab. Lakini cha ajabu bado sisi ni bora ni Katibu wa Magamba. Kinana Rudi Kwenu Somalia
Wanajamvi:
Ilikuwa ni tetesi lakini sasa lipo bayana chadema kimeshindwa kufanya uchaguzi wa ndani ya chama hicho kutokana na mwenyekiti na katibu wake kuendelea kupanga mipango ya kubaki madarakani bila ya kufanya uchaguzi.
vyanzo vya habari toka ndani ya chadema vimepasha kuwa mbowe na slaa hawako tayari tena kufanya uchaguzi badala yake wanasubiri wakati fulani ufike ili wafanye marekebisho kwenye katiba ya chama ili wao iwaruhusu kukalia nafasi zao mpaka 2015.
kufanya marekebisho kwa katiba kunasukumwa na sheria ambayo wao wameitunga kuwa kila baada ya miaka mitano uchaguzi lazima ufanyike hivyo kutofanya uchaguzi kunaweza kuwabana kisheria ambapo ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa itaweza kuwabana kwa kosa hilo ndiyo maana inabidi wafanye marekebisho ya
katiba na kanuni zao ili kukwepa rungu la msajiri,
kwa sasa viongozi wa juu wa chadema watabaki bila kubadilika hii ni pamoja na viongozi wa mabaraza kama bawacha na bavicha,kwa wale ambao walikuwa na ndoto za kugombea uongozi ndani ya chadema kama kijana mwenzetu ben saanane na zitto kuweni wapole mtafute kazi zingine za kufanya au mhamie chauma na ADC ambao watafanya uchaguzi mda siyo mrefu,
kwa sasa kinachofanyika kwa mbowe na slaa ni kujenga ngome zao kila mmoja ili kujiimarisha ndani ya chama na kuwa na viongozi wengi wa kuwatetea kwenye vikao ndiyo maana mzee slaa kila akifanya ziara sehemu yoyote anatimua uongozi wote badaye anaweka watu wake si mda mrefu hali hii imetokea kyela.
Chadema inawenyewe hatuwezi kumpa mtu uongozi tusiyemfahamu kuweni makini na hili jambo tunaweza kupoteza chama chetu mikononi mwa watu tusiowajua.....mzee mtei.
Naona umeamua kuvuka daraja kabla hujalifikia
ndugu yangu mipango inaendelea pamoja na maanfalizi ya huo uchahuzi hivyo hakuna atakayevunja katiba ya chama. na zaidi nikuelimushe mleta thred kuwa chadema ni taasisi na ciyo malu ya mtu mmoja.
Pole kaka naona unajikakamua lakini ROHO inakuuma.Unaweza kuthibitisha hapa kuwa ni9na nia hiyo?Ni wapi nilipotangaza?
Usinihusishe kwenye hisia zako