utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
- Thread starter
-
- #121
Hoja nyepesi ktk mambo mazitoungekuwa na nia ya kujua kukikoni basi ungesaidiwa, lakini wewe moja kwa moja unajiuliza swali kisha ukajijibu mwenyewe sasa sisi tukusaidie kivipi?
Huna jibu la swali lililoulizwa bora ukae kimyaungekuwa na nia ya kujua kukikoni basi ungesaidiwa, lakini wewe moja kwa moja unajiuliza swali kisha ukajijibu mwenyewe sasa sisi tukusaidie kivipi?
Unamtetea mtu mwenye kugushi kama huyu jambazi? Au kisa yupo Chadema?
amewavua pichu na kuwapa za uso ee? Mjibu kwa hoja punguza povu
Utanipasua mbavu, teh teh teh nilicheka aliniambia eti nisiliongelee swala la familia wameishalimaliza kifamilia na mzee Butiku, mie ninamlaaumu sana Ben Saanane, kwa kulikalia kimya hilo suala.
Mimi sijasema NENO bali familia ya Mwl. Nyerere ndiyo iliyomtoa nyoka pangoni mwake iliposema hivi,
Hatutaacha kumkumbusha uongo wake aliotenda kwa miaka mingi sana hapa JF kwa kuendelea kudanganya na kudanganya kwa kusema hivi,
wana jf
mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na tetesi kwamba uchaguzi wa ndani wa viongozi wa chadema utafanyika kuanzia mwezi wa nne 2013, cha ajabu hivi sasa ni mwisho wa june lakini kimya na hakuna kinachoendelea.
Demokrasia iko wapi ndani ya chadema??? kuna rafiki yangu nlikuwa naongea naye kuhusu hili akasema uchaguzi wa nini wakati viongozi wapo?? je hilo jibu ni sahihi kwamba mfumo wa kifalme umerudi Tanzania? Tumezoea kumsikia Augostino Lyatonga Mrema akiwa mwenyekiti wa TLP tangu ahamie chama hicho miaka zaidi ya 15, John cheyo wa UDP na Prof Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF.
Je hivi vyama ni wale wale??

ni chama cha kifalme hakuna uchaguzi by the way hakuna mtu mwingine chadema mwenye uwezo wa uongozi .
Alitegemewa zito but naye ni kirusi ndani ya chadema.
chama cha kidicteta, kikabila, kikanda na kidini hakiwezi kufanya uchaguzi wa kidemokrasia. wanasubiri tu 2015
Vyama vya upinzani tangu lini kuna uchaguzi? Ukisha shika ni unabaki mpaka chama kife.
CHADEMA wanaogopa kufanya uchaguzi coz wanaogopa chama kugawanyika zaidi

Huu hapa ulikuwa wa haki?
View attachment 99863
Mkuu CHAMVIGA acha maneno yako, wewe na Mwanadiwani ni wachochezi sana humu JF, mpo kuikashishu CDM na viongozi wake and eventually mnaleta hasira kwa watu na kusababishia ban watu thus why nimemwambia Kamanda Yericko Nyerere atulie kimya.
Huu hapa ulikuwa wa haki?
View attachment 99863
Mleta mada naomba nikupe jibu sahihi.
Viongozi walioko madarakani walichaguliwa mwaka 2009 na kipindi chao kinaisha mwaka 2014 tena mwishoni. Sasa uchaguzi kufanyika mwaka huu wa 2013 ni uamuzi wa busara wa viongozi wetu kuwahisha uchaguzi kwa ili kutobananisha uchaguzi wa ndani ya chama na uchaguzi wa serikali ya mtaa.
Kwa hiyo, wadau badala ya kuwashambulia viongozi wetu wangekuwa wanatumia mashambulio hayo kuandika vitu vya ukweli na pongezi nyingi kwa viongozi kupunguza muda wao wa uongzi kwa mwaka mmoja kwa malahi ya chama. Huu ndio ukweli wa 100%. Sina hakika kama viongozi wa ccm wanaliweza hilo.
Hili siyo swala la kucheka hata kidogo. Hii zaidi ya identity thief.
Swala la familia gani wakati familia ya Mwl. Nyerere haimfahamu na haitaki kumfahamu zaidi ya kumpa onyo na hili walilielezea kwa uwazi.
Ben Saanane yupi huyo?. Hakuna mtoto wa Mwl. Nyerere anayeitwa Ben Saanane.