Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Wewe niwa kupuuzwa tu kutokana na uwongo wako kwa miaka mingi hapa JF kwa kuwadanganya wana JF kama WEWE ni MTOTO wa Mwl. Nyerere wakati huna hata uhusiano wowote ULE.
mkuu najua unaogopa itaku'cost, hahahhahahhaAcha unafiki wewe washauri Chadema wenzako wachangie.
2015 hakutakuwa na madiwani feki, hahahahahahahaha, jiji la mwanza litakucheka tu, loh!Hizi akili za kibavicha bavicha.
Kama una akili kiasi cha kutoa ushauri mbadala. Kwa nini usianzishe Internet Forum yako na kuiweka hii 'great' idea.
Jibu hoja siyo kuanza kufundisha MOD's nini kifanyike kuboresha JF utadhani walikuomba ushauri.
Swali lililoulizwa ni hili, Lini CHADEMA watafanya uchaguzi wao wa ndani?. Kama huna jibu, jog on.
Mimi sijasema NENO bali familia ya Mwl. Nyerere ndiyo iliyomtoa nyoka pangoni mwake iliposema hivi,Kwahiyo MwanaDiwani hapa unataka kututhibitishia kuwa wewe ndiye mama yake mzazi na Yericko Nyerere? manake mtu anayeweza kuongea kwa kujiamini kabisa kwamba wewe si mtoto wa Madelu (kwa mfano) ni mke wa mzee Madelu aliyebeba mimba na kumzaa mtoto wake akamuita jina la mwanadiwani.
Nilikuwa naongea na Joseph Butiku sasa hivi,na Mama Maria. Nimewauliza kuhusu huyu Yericko Nyerere. Hawamfahamu. Butiku amesema,watu wanajipa majina wanavyopenda; Adam Marwa ana mtoto wake mmoja tu,anaitwa Lumumba. Mimi[Butiku],mtoto wangu anaitwa Kaunda. Magige Nyerere ana mtoto anaitwa Moringe. Halafu Mama Maria akasema,Rose Nyerere ana mtoto anaitwa Luis Rwagasore,Mfalem wa Rwanda.
Kwa hiyo Butiku amesema huyu kijana kama angekuwa na namba ya simu,ningeweza kumtafuta,ili aweze kujieleza. Kwa hiyo nimempa Butiku namba ya simu ya Yericko Nyerere.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-tanganyika-na-zanzibar-221.html#post6613446
Umekosea sana.
Marealle hakupata kuifadhili TANU.
Chief Marealle na Nyerere hawakuwa na mkabala mwema baina yao.
Soma kijana soma.
Utaerevuka.
Punguza kujua.
Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.
Ndugu sio kila kitu utakifahamu katika historia ya nchi hii,
Mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi, nakufahamisha tangu sasa kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere (kiuchumi)
Alimnunulia gari, suti, na nauli alimpa ya kwenda umoja wa mataifa.
Si kila kitu kitawekwa katika simulizi.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-tanganyika-na-zanzibar-224.html#post6630081
wana jf
mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na tetesi kwamba uchaguzi wa ndani wa viongozi wa chadema utafanyika kuanzia mwezi wa nne 2013, cha ajabu hivi sasa ni mwisho wa june lakini kimya na hakuna kinachoendelea.
Demokrasia iko wapi ndani ya chadema??? kuna rafiki yangu nlikuwa naongea naye kuhusu hili akasema uchaguzi wa nini wakati viongozi wapo?? je hilo jibu ni sahihi kwamba mfumo wa kifalme umerudi Tanzania? Tumezoea kumsikia Augostino Lyatonga Mrema akiwa mwenyekiti wa TLP tangu ahamie chama hicho miaka zaidi ya 15, John cheyo wa UDP na Prof Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF.
Je hivi vyama ni wale wale??
wana jf
mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na tetesi kwamba uchaguzi wa ndani wa viongozi wa chadema utafanyika kuanzia mwezi wa nne 2013, cha ajabu hivi sasa ni mwisho wa june lakini kimya na hakuna kinachoendelea.
Demokrasia iko wapi ndani ya chadema??? kuna rafiki yangu nlikuwa naongea naye kuhusu hili akasema uchaguzi wa nini wakati viongozi wapo?? je hilo jibu ni sahihi kwamba mfumo wa kifalme umerudi Tanzania? Tumezoea kumsikia Augostino Lyatonga Mrema akiwa mwenyekiti wa TLP tangu ahamie chama hicho miaka zaidi ya 15, John cheyo wa UDP na Prof Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF.
Je hivi vyama ni wale wale??
Wewe niwa kupuuzwa tu kutokana na uwongo wako kwa miaka mingi hapa JF kwa kuwadanganya wana JF kama WEWE ni MTOTO wa Mwl. Nyerere wakati huna hata uhusiano wowote ULE.
Ulikuwa unajitahidi kuharalisha kama una fahamu mengi kuhusu Mwl. Nyerere kwa kuwa active katika maswala yanayohusu familia ya Mwl. Nyerere mpaka pale Andrew Nyerere na Mzee Butiku walipotaka kujua kwa nini unatumia jina la Mwl. Nyerere ndiyo ukaja hapa JF ku-preempty kwa statement hii, huku ukitaka bado tuamini kuna mahusiano kwa mbali na Mwl. Nyerere kwa vile jina linafanana. Siku za mwizi ni arobaini.
Sura za watoto wa Mwl. Nyerere haziko hivi bila hata ya kuchukua prove of Deoxyribonucleic acid (DNA)
Mkuu umeua kabisa. Hii ni aibu kubwa sana. Nilitegemea hata angekuwa hata jirani na nyerere kumbe hamna kitu kabisa. Ni aibu sana kupenda sifa za kijinga namna hii. Alizani akitumia jina la nyerere atapata heshima huku jukwaani. I feel sorry for him.
Hili siyo swala la kucheka hata kidogo. It's very SERIOUS ISSUE. Hivi unafahamu familia ya Mwl. Nyerere imefedheheka kwa kiasi gani?. Anaweza kuwafidia na kuwarudisha katika hali yao ya kawaida?.Mkuu MwanaDiwani, hahahahahaha......mbavu zangu, uuuuuuuwwwwi!!!
huyu nyerere feki kiboko yake ni Zitto tu,akisikia jina la zitto anajiharishia.Hili siyo swala la kucheka hata kidogo. It's very SERIOUS ISSUE. Hivi unafahamu familia ya Mwl. Nyerere imefedheheka kwa kiasi gani?. Anaweza kuwafidia na kuwarudisha katika hali yao ya kawaida?.
Kwa waingereza hili ni kosa la JINAI lenye kifungo cha miaka MITANO in prison. Yericko Nyerere deserve to go to JAIL for Stalking and psychological harassment kwenye familia ya Mwl. Nyerere.
This is not a laughing matter.
Hili siyo swala la kucheka hata kidogo. It's very SERIOUS ISSUE. Hivi unafahamu familia ya Mwl. Nyerere imefedheheka kwa kiasi gani?. Anaweza kuwafidia na kuwarudisha katika hali yao ya kawaida?.

CCM MASALIA NAPE,STA NA MEMBE GROUP MZEE WA MDMU A.K.A WA KUZUIA WATU KUJA DAR Joka la mdmu CDM WAPO STRNG HYO NI FALASwana jf mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na tetesi kwamba uchaguzi wa ndani wa viongozi wa chadema utafanyika kuanzia mwezi wa nne 2013, cha ajabu hivi sasa ni mwisho wa june lakini kimya na hakuna kinachoendelea. Demokrasia iko wapi ndani ya chadema??? kuna rafiki yangu nlikuwa naongea naye kuhusu hili akasema uchaguzi wa nini wakati viongozi wapo?? je hilo jibu ni sahihi kwamba mfumo wa kifalme umerudi Tanzania? Tumezoea kumsikia Augostino Lyatonga Mrema akiwa mwenyekiti wa TLP tangu ahamie chama hicho miaka zaidi ya 15, John cheyo wa UDP na Prof Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF. Je hivi vyama ni wale wale??
Kwahiyo MwanaDiwani hapa unataka kututhibitishia kuwa wewe ndiye mama yake mzazi na Yericko Nyerere? manake mtu anayeweza kuongea kwa kujiamini kabisa kwamba wewe si mtoto wa Madelu (kwa mfano) ni mke wa mzee Madelu aliyebeba mimba na kumzaa mtoto wake akamuita jina la mwanadiwani.
Hili siyo swala la kucheka hata kidogo. It's very SERIOUS ISSUE. Hivi unafahamu familia ya Mwl. Nyerere imefedheheka kwa kiasi gani?. Anaweza kuwafidia na kuwarudisha katika hali yao ya kawaida?.
Kwa waingereza hili ni kosa la JINAI lenye kifungo cha miaka MITANO in prison. Yericko Nyerere deserve to go to JAIL for Stalking and psychological harassment kwenye familia ya Mwl. Nyerere.
This is not a laughing matter.
Mmmmh! Mkuu MwanaDiwani nimeanza kukuogopa aiseee, kumbe ni vyema kutumia fake ID maana nimeona watu mpo makini sana kufatilia nyendo na maneno ya watu.
Mkuu Yericko Nyerere tafadhili usibishane tena na hawa jamaa wapo kwa kazi maalumu.
Hili siyo swala la kucheka hata kidogo. Hii zaidi ya identity thief.Utanipasua mbavu, teh teh teh nilicheka aliniambia eti nisiliongelee swala la familia wameishalimaliza kifamilia na mzee Butiku, mie ninamlaaumu sana Ben Saanane, kwa kulikalia kimya hilo suala.
chama cha kidicteta, kikabila, kikanda na kidini hakiwezi kufanya uchaguzi wa kidemokrasia. wanasubiri tu 2015