Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

mods Invisible , Paw na wengine nawaombeni lile wazo la kila anaye'post kwenye hili jukwaa awe amechangia JF walau hata buku 5 tu ili kupunguza utitiri wa watu kuwa na ID nyingi kama hivi.
Hizi akili za kibavicha bavicha.

Kama una akili kiasi cha kutoa ushauri mbadala. Kwa nini usianzishe Internet Forum yako na kuiweka hii 'great' idea.

Jibu hoja siyo kuanza kufundisha MOD's nini kifanyike kuboresha JF utadhani walikuomba ushauri.

Swali lililoulizwa ni hili, Lini CHADEMA watafanya uchaguzi wao wa ndani?. Kama huna jibu, jog on.
 
Mtei hajaamua.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1372342267991.jpg
    3.2 KB · Views: 128
Mtei tayari ameshawateua viongozi wa juu hakuna uchaguzi tena mambo ya ukabila

Chaga ndani, meru ndani, hehe ndani, nyakyusa ndani, kuya ndani, safwa ndani, nyih ndani, kinga ndani, bena ndani, zaramo ndani, wazanzibar wale sijui kabila gani ndani, pogolo ndani, masai ndani, sukuma ndani, waswahili ndani...... Ukabila huu na ukanda huu mi naupenda sana....
 
chadema wakiwa nje ya mikutano wanasema wanaendeshwa kidikteta wakiingia kwenye vikao wanakuwa mabubu halafu wakijakwa wananchi eti wanatuambia tuandamane hii siyo sawa.
 
dah, kweli nimeamini chadema ni chama cha wachaga, ukanda na udini

Nimehaujibu kwenye account ningine ile....! Kwani hatuwezi jadili bila kutaja chama!! Mbona mie sijaema kuwa wewe mliberali.... Teh teh nyie kweli pasua kichwa!!!
 

wengi washika mikoba tu wenyechama wanajulikana.
 
Yaani hii mada imekaa kichwani mwangu zaidi ya miaka 4 sasa, nilikuwa nawaza sana kuwa kama kweli cdm wamekomaa na wako tayari kuiongoza Tanzania basi wafanye uchaguzi ndani ya chama chao kwanza kabla ya uchaguzi mkuu 2015 , changamoto watakazo kumbana nazo na jinsi watakavyokabiliana nazo ndo tutapima uwezo wao.
 
huo ni utawala wa kifalme huwa hakuna uchaguzi, ni kuteuana tu mkuu
 
Haahaaa kwakweli nimecheka mpaka mbavu zikauma! Teheeehe teheee!
Wewe niwa kupuuzwa tu kutokana na uwongo wako kwa miaka mingi hapa JF kwa kuwadanganya wana JF kama WEWE ni MTOTO wa Mwl. Nyerere wakati huna hata uhusiano wowote ULE.

Ulikuwa unajitahidi kuharalisha kama una fahamu mengi kuhusu Mwl. Nyerere kwa kuwa active katika maswala yanayohusu familia ya Mwl. Nyerere mpaka pale Andrew Nyerere na Mzee Butiku walipotaka kujua kwa nini unatumia jina la Mwl. Nyerere ndiyo ukaja hapa JF ku-preempty kwa statement hii, huku ukitaka bado tuamini kuna mahusiano kwa mbali na Mwl. Nyerere kwa vile jina linafanana. Siku za mwizi ni arobaini.

Sura za watoto wa Mwl. Nyerere haziko hivi bila hata ya kuchukua prove of Deoxyribonucleic acid (DNA)
 

Attachments

  • image.jpg
    33.7 KB · Views: 89
  • image.jpg
    35.7 KB · Views: 91
  • image.jpg
    58 KB · Views: 109
matarajaio yenu ni kuona uchaguzi ukifanyika na wale viongozi wote wanaitoa jasho ccm hawachaguliwi, uchaguzi upo na muda utafika, chama hakiwahusu kelele lundo nyie watu mna matatizo sana eeeh !

tunataka uchaguz bana ndiyo demokrasia ya kweli. Au mnahofia chama kitahama kaskazini na kwenda kgm?
 



Mkuu umeua kabisa. Hii ni aibu kubwa sana. Nilitegemea hata angekuwa hata jirani na nyerere kumbe hamna kitu kabisa. Ni aibu sana kupenda sifa za kijinga namna hii. Alizani akitumia jina la nyerere atapata heshima huku jukwaani. I feel sorry for him.
 
Mh. Mbowe amemuoa mtoto wa mwenye CHADEMA. Kwa hali ya namna hiyo unaweza kuona kabisa kwamba CHADEMA ni mali ya familia na hakuna wa kuweza kumtoa Mh. Mbowe kwenye nafasi yake ndani ya CHADEMA.

mkurugenzi wa mambo ya nje wa nyinyiem ni mtoto wakatibu mkuu(sitasema mstaafu kwasababu hata wewe hukumtabua mtei kama mstaafu.kwahiyo kama issue ni nepotisim nyie mko juu zaidi.
 
jamaa leo wamebanwa hata hawajachangia. Ofa ya viroba imeishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…