mkuu soma taarifa hii ya hapa chini. CHADEMA mbona mnaaibika sana. yaani unajifanya hujui kuwa taarifa za uchaguzi ziliwekwa hadharani kupitia waandishi wa habari
Wednesday, January 30, 2013
Chadema yatangaza mchakato uchaguzi
NA MUHIBU SAID
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza mchakato wa uchaguzi wa ndani ya chama hicho kwa ngazi zote; kuanzia msingi hadi taifa pamoja na mabaraza yake yote, utakaofanyika sambamba na operesheni ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) katika kanda 10 nchini kote Aprili hadi Desemba, mwaka huu.
Ratiba ya uchaguzi huo ni sehemu ya maamuzi kadhaa yaliyopitishwa na Baraza Kuu la Chadema katika mkutano wake maalum uliofanyika jijini Dar es Salaam juzi.
CHANZO: NIPASHE
kwani huo uchaguzi ulikuwa uwe wa mwenyekiti na katibu peke yao??? au povu tu. kinachotakiwa ni uchaguzi hata kama watarudi wale wale lakini wawe wamechaguliwa kisheria
Uchaguzi wa Chadema lini?
weka ushahidi. ilibadilishwa kimya kimya??? mbona mambo mengine tunasikia matamko??tarehe ilibadilishwa, uchaguzi utafanyika mwezi decemba 2013.
uchaguzi utafanyika lakini kuna uwezekano mkubwa msiowapenda magamba wakarudi hao hao, sijui itakuwaje, ebu angalia na ile picha pale juu, ndo maana ukiwa mwana ccm lazima akili ziwe pungufu kumbe mnafanyiwa matambiko
sasa wewe tutusa, unachekesha kweli, unapinga nini na unakubali nn??? au umepost haraka haraka bila kuangalia kuwa unajiumbua na kukiumbua chama chako? mleta mada ameuliza ilikuwa iwe april na sasa ni june, wewe unaleta hii taarifa gazeti inayokubaliana na mleta mada huku unapinga tena kwa matusi..huoni aibu?Furahi sasa na bahasha yako ya khaki!
Na Janet Josiah
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema utekelezaji wa mpango mkakati wa nguvu ya umma uliogawiwa katika kanda 10 na vikosi vyake nchi nzima, utakwenda sambamba na uchaguzi wa ndani wa chama hicho kuanzia ngazi ya msingi hadi taifa.
Hayo yalisemwa katika kikao cha dharura cha Baraza Kuu la chama hicho kilichokuwa na agenda nne ambazo ni mapendekezo kuhusu maudhui na mchakato wa katiba mpya, haja ya kufanya marekebisho katika kanuni za chama na kutunga muongozo, mpango kazi, mkakati na mwendelezo wa operesheni ya vuguvugu la mabadiliko (M4C) na bajeti ya chama kwa mwaka 2013.
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA, John Mnyika, alisema kuwa uamuzi huo ulifikiwa juzi katika kikao hicho, ambapo ratiba ya uchaguzi wa ndani kwa ngazi ya misingi, matawi, majimbo na wilaya utafanyika Aprili hadi Septemba mwaka huu.
Mnyika ambaye ni mbunge wa Ubungo, alisema kuwa chaguzi za mikoa zitafanyika Novemba na ngazi ya taifa utaanza kwa mabaraza ambapo Desemba 11 utakuwa wa Baraza la Wanawake (Bawacha).
Kwamba Desemba 12, watachaguana Baraza la Vijana (BAVICHA) na Desemba 13 utafanyika uchaguzi wa Baraza la Wazee.
Alisema uchaguzi huo utaendelea Desemba 14 kwa Baraza Kuu, Desemba 15 Mkutano Mkuu, Desemba 16 ni Baraza Kuu jipya na Desemba 17 watamalizia na uundwaji wa kamati kuu mpya.
Mnyika alisema ratiba hiyo ni mwendelezo wa M4C kwa wananchi kuiwajibisha serikali mwaka 2013 na kueneza sera sahihi za chama hicho ili kuwaunganisha na kuiondoa CCM madarakani katika chaguzi wa mitaa 2014 na ule mkuu wa 2015.
Juzi, chama hicho kilipitisha mpango mkakati kwa kumega madaraka ya makao makuu katika kanda kumi yakiwa ni maandalizi ya kushika dola 2015.
Mkijua lini iweje? Au mnataka mtege yale mambo yenu ya china?Jibu swali uchaguzi wa Chadema lini?
sasa wewe tutusa, unachekesha kweli, unapinga nini na unakubali nn??? au umepost haraka haraka bila kuangalia kuwa unajiumbua na kukiumbua chama chako? mleta mada ameuliza ilikuwa iwe april na sasa ni june, wewe unaleta hii taarifa gazeti inayokubaliana na mleta mada huku unapinga tena kwa matusi..huoni aibu?
mkuu wewe unafanya kazi maalumu ya kulipwa kutetea ujinga?? mbona michango yako ni mingi lakini haieleweki?Ni nani aliwaambia hayo? Tupatie ToR za umbea wako huu
Unamjua Oliver Tambo? Alikuwa mwenyekiti wa ANC kwa miaka mingapi? Je alikuja kuwa Rais? Hivi MALUMUMBA mnajua siasa kweli?
In 1955, Tambo became Secretary General of the ANC after Walter Sisulu was banned by the South African government under the Suppression of Communism Act. In 1958 he became Deputy President of the ANC and in 1959 was served with a five year banning order by the government. In 1977 Tambo signed the first solidarity agreement between ANC and a Municipality, the relationship starts a relevant strength of the struggle against apartheid. The Italian town of Reggio nell'Emilia was the first city in the world to sign a pact of solidarity.
In response, Tambo was sent abroad by the ANC to mobilise opposition to apartheid. He settled with his family in Muswell Hill, north London, where he lived until 1990. He was involved in the formation of the South African Democratic Front. In 1967, Tambo became Acting President of the ANC, following the death of Chief Albert Lutuli. In 1985 he was re-elected President of the ANC. He returned to South Africa on 13 December 1990 after over 30 years in exile,and was elected National Chairperson of the ANC in July of the same year. Tambo died aged 75 due to complications from a stroke on 24 April 1993.
ahhaaaa kumbe! ndo maana mzee cheyo anabaki kuwa mwenyekiti wa UDP, CHRISTOPHER MTIKILA kuendelea kuwa mwenyekiti wa DP, Mrema naye kung'ang'ania TLP, huku mzee lipumba naye amekuwa Mungu mtu wa CUF. ukienda kwa NCCR Mageuzi unakutana na udicteta wa mliberali Mbatia. Naye mbowe anaendeleza yaleyale
mkuu wewe ni mzigo sana ila hujijui tu. yaani hiyo ndio hoja yako? umekata kamba na lazima tukukamate tukurudishe wodini usije ukasababisha majanga mtaani bureAngalia REP power yangu na yako ndio utajua nani katoroka Mirembe....wherever that is anyway
Ya Dodoma umeyasahau mara hii...!? Kura unaipiga halafu unampatia katibu wako kichama wa wilaya anaikagua kuona umepigaje...kama hakuridhika na ulivyoipiga anaichana kura yako...Je. huo ndiyo uchaguzi wa demokrasia?
Press the brake paddle !
mgonjwa, naona umewastua wenzako waje wakusaidie mana we ni mweupe upstairAngalia REP power yangu na yako ndio utajua nani katoroka Mirembe....wherever that is anyway
Inauma Eeeeeeeeh.....!! Mtasema sana...
hii post hautalipwa, haina cha maana.Angalia REP power yangu na yako ndio utajua nani katoroka Mirembe....wherever that is anyway