Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Kuukasilikia UKWELI hakuufanyi UWE UONGO,katiba ya CDM inasema nini Juu ya Uchaguzi katika chama?
 
Vp umeshachomoa kimeo chako dogo.....ulipotea kidogo nilikuona somewhere dodoma wiki kadhaa, vp usharejea mbeya?
 
Na bado!mtaangaika sana!

Hivi katiba inasema uchaguzi utafanyika chama kikiimarika? hivi katiba mpya isipokamilika 2015 JK akasema uchaguzi mkuu utafanyika katiba mpya ikikamilika kuna atayemuelewa?
 
Ndio mchango wako huu??kwani ungekaa kimya ingekugharimu nini??

Baba mkwe wa Mbowe si ndio alimuweka pale kukaimu uenyekiti au hulijui hilo? unafikiri Mbowe ana sauti ndani ya chadema zaidi ya baba mkwe?
 
Hawa ma-CDM Kaskazini wana roho mbaya sana, na naamini kuwa hata hawa ma-CDM wanosuport ujinga huu NI WA KASKAZINI KAMA Ndesa.. Nina mashaka hata yakipata nchi kwenye miaka 300 ijayo yatakuwa hayafuati katiba. Nani anaweza kuamini mijitu ambayo haifuati katiba yao yenyewe aipe hata kipande kidogo sana cha ardhi. Na badala ya mijitu humu ndani kushinikiza katiba ifuatwe na yenyewe ipate uongozi kwa akili ndogo tu yanakubali yenyewe yaendelee kupiga makofi na kuachwa jangwani yakipigwa jua kila kukicha. Sikubali ujinga huu Uchaguzi lazima na sisi wa kusini, magharibi ,mashariki, kati na nyanda za juu tuchukue usukani. Nyie mijitu ya kaskazini humu ndani muda wenu umeisha la sivyo PATACHIMBIKA
 
tumaini makene ebu tufafanulie,,maana kama hii habari ni kweli bas kuna tatizo kubwa sana uko zaidi ya ccm...hivi uchaguzi wa mwisho chadema ulifanyika lini??
uchaguzi wa viongozi wa chadema hufanyika kila baada miaka mitano, na uchaguzi wa mwisho ulifanyika mwaka 2009.
 
Bila shaka Uliye muona si Ndesamburo ila ni Kinana.
 

mimi binafsi sioni cha ajabu na hii inatokana na umakini wa chadema maana maccm yalibakiza mbinu hiyo tu kusambalatisha chama,ata hivyo unadhani nani mwingine anaweza kua na moyo kama makamanda wetu wa sasa
istoshe ni lini umefanyika uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa ccm taifa au mnaonaga chadema tu
 
watu wa chadema mnapenda mpaka mnakuwa vipofu,,,,yani mimi kuuliza maswala ya msingi nimeshakuwa gamba???
aya nyie endeleeni kuwapigia makofi kwa kila kitu.

Ndiyo! acha tuwapigie makofi. Kinacho kuuma nini ikiwa haki kuhusu? Mbona kwenu baba, mama, mtoto na mdogo wake Mwanaasha, shemeji yenu kwa yule wa kwa Madiba na mama mkwe wenu kwa M/kiti wote ni viongozi ndani ya MAGAMBA na hampigi kelele!?
 

Home of the great thinkers.
 
Naunga mkono hoja mia kwa mia.haya macm target yaliyobakiza ni moja tu kutaka kupandkiza mamiluki zao
 
uchaguzi wa viongozi wa chadema hufanyika kila baada miaka mitano, na uchaguzi wa mwisho ulifanyika mwaka 2009.

kama uchaguzi wa mwisho ulifanyika 2009 basi mwaka huu ilibidi ufanyike uchaguzi mwingine....kama cha demokrasia inabidi kiishi demokrasia.
 
Ndiyo! acha tuwapigie makofi. Kinacho kuuma nini ikiwa haki kuhusu? Mbona kwenu baba, mama, mtoto na mdogo wake Mwanaasha, shemeji yenu kwa yule wa kwa Madiba na mama mkwe wenu kwa M/kiti wote ni viongozi ndani ya MAGAMBA na hampigi kelele!?

wewe kichwa chako umejaliwa maji tu,,kwaio mimi kuulizia uchaguzi ni makosa??chama kinachotaka kukamata dola lazima kioyeshe yale kinayoyaubiri kwa vitendo...so kinanihusu sababu kinataka kupewa nchi
 
Kuna kila dalili kuwa Mwenyekiti wa cdm mheshimiwa Freeman Mbowe ana mpango wa kuhakikisha anabaki kuwa mwenyekiti wa cdm hadi atakapolazimishwa kuondolewa kwa nguvu kama ilivyo kwa mgombea wa kudumu wa uraisi Professor Lipumba wa chama cha wnanchi cuf.
 

peoples power inatumika nje ya CHADEMA siyo ndani ya CHADEMA kama ulikuwa hujui pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…