Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
Kiherehere cha Rais kumpongeza Uhuru kitatuletea diplomatic embarrasement.Tungewapongeza wakenya kwa uchaguzi wa amani kama walivyofanya akina Ban Ki Moon kuliko alivyofanya JK
Kiherehere cha Rais kumpongeza Uhuru kitatuletea diplomatic embarrasement.Tungewapongeza wakenya kwa uchaguzi wa amani kama walivyofanya akina Ban Ki Moon kuliko alivyofanya JK
I have never expected genuine election in Africa, it seems we are inherently cheaters and manipulators
Taaratibu Uchaguzi Huo Unanyofoka... Kweli Ulikuwa wa HAKI? Rais wa CCM ameupongeza
Kenya watajuta kumchagua Uhuru kama nasi 2navojuta kumchagua Dhaifu Jk