vilWewe una ushahidi gani kusema hazikwibwa? Kikubwa kwa vile katiba ya Kenya inaruhusu kuhoji matokeo, acheni sheria ifuate mkongo wake. Mtu mzima mwenye akili timamu ambaye hadi kaaminika kugombea uraisi na wapiga kura karibu ya nusu wanasemekana kumkubali, hawezi kuwa bolizozo wa kupiga yowe pasipo shari!hivi una ushaidi gani wewe wa kusema kura zimeibiwa?
Kwa ukabila wa Kenya ulivyo Huwezi kumshinda Mkikuyu bila msaada wa Mkalenjing RAO alifanya kosa kubwa sana kumuachia Ruto sasa anataabika. Hata wakienda round two ataanguka tena! akubali yaishe kwa amani bila kumwaga damu za wakenya.
Mbona uhuru naye ni tajiri na wakikuyu wengi nao ni matajiri? lakini kila siku ni mbinu za kuendelea kuwa hapo. Mpaka magazeti yanatumika kuficha ukweli na kufanya propaganda dhidi ya kundi fulani
Hii ndio Afrika yetu ngoja na tuone mwisho wa yote...
Sure? acha mambo ya urongo:Muungano wa Cord, leo utawasilisha/umewasilisha vielelezo mahakamani kupinga ushindi wa Kenyatta.Odinga ameanza kuonyesha rangi yake ya roho.
hivi una ushaidi gani wewe wa kusema kura zimeibiwa?
Halafu ICC wamechemsha, kesi imekosa nguvu,mashaidi wamepotea wote.wazungu wanaangalia maslahi yao. Odinga ameumia
Huu uchaguzi Kenyatta hakushinda kihalali. Narudia: Kenyatta hakushinda kihalali. Kuna mchezo wa kumwongezea kura ulichezwa.... Tume ikishirikiana na vyombo vya usalama.vilWewe una ushahidi gani kusema hazikwibwa? Kikubwa kwa vile katiba ya Kenya inaruhusu kuhoji matokeo, acheni sheria ifuate mkongo wake. Mtu mzima mwenye akili timamu ambaye hadi kaaminika kugombea uraisi na wapiga kura karibu ya nusu wanasemekana kumkubali, hawezi kuwa bolizozo wa kupiga yowe pasipo shari!
Hivi, kwani ni lazima Odinga awe rais? Anataka kuwa kama Mrema!
Yaani waafrica ni wagumu kukubali matokeo! Odinga utashindwa tu! Tafuta cha kufanya
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wajaluo wameanza mambo.