Guyton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 264
- 78
Mi nasikiliza Redio Iman wanahubiri chuki tu dhidi ya Wakristo, nimesikiliza Sauti ya Adhana pamoja na Radio Kibra ten na mahubiri yao ni hivyo hivyo, hakuna updates za Igunga
utafute uzima wa milele kaka, achana na hizo propaganda.