Uchaguzi Kenya: Lowassa alienda kama mwanachadema au mmasai?

Jamani wamasai ni watu wa culture siyo watu wa ukabila na hawana effect yo yote katika amani a nchi. Lskini makabila makubwa yenye kisomo kama vile wachagga, wahaya, wanyakyusa, wasukuma,yakisujudia ukabila kutakuwa na madhara makubwa sana kitaifa.
 
Aliyoyasema kanisa la KKT alipokuwa anagombania Urals Tanzania nikajuwa huyu mzee kumbe ni mbaguzi. Simshangai, Watanzania wengi ni kama yeye tu.
 
Aliyoyasema kanisa la KKT alipokuwa anagombania Urals Tanzania nikajuwa huyu mzee kumbe ni mbaguzi. Simshangai, Watanzania wengi ni kama yeye tu.
Vipi yule aliyesema Singida kuwa ameshinda kwa ile rozali aliyopewa wakati wewe FF ulimpa kura ilihali rozali huiamini? Kila neno unalitumia kulingana na mahali ulipo, ukila kiti moto Mbeya unaweza kusifia utamu wake lakini huwezi kwenda Pemba na kusifu utamu wa kitimoto.
 
Na wewe mwabudu mashetani achana ka kanisa!. Kila wakati ukipost unashambuliwa habari za makanisa. Gubu litakuua wewe halafu ukamkute shetani wako unayemwabudu motoni!. Unaudhi kweli ff.

Unafananisha mbingu na ardhi.
 
Inash
Mmbona wachangiaji mnamtolea Mapovu mleta mada kwa jambo ambalo ni ukweli mtupu.
angaza sana kweli badala ya kujibu hoja wanahamisha mjadala. Hiyo dhambi haitomuacha salama. Kila mtu anajua kuwa kuna wamasai wengi Kenya kuliko hata Tanzania kwa nini hakuenda kuwaomba kura Wajaluo ili wasimpigie Odinga? Je Watanzania ambao ni Wajaluo, Wakurya, Wasegeju hao wangeenda Kenya kuwapigia kampeni? Huo ni ukabila tu.
 
Na wewe mwabudu mashetani achana ka kanisa!. Kila wakati ukipost unashambuliwa habari za makanisa. Gubu litakuua wewe halafu ukamkute shetani wako unayemwabudu motoni!. Unaudhi kweli ff.
Hata Yesu hajaingia kanisani.
 
Hoja yako ni mufilisi ambayo haina nafasi yeyote kwenye karne ya ishirini na moja. Lowassa alienda kufundisha somo la demokrasia ambalo kimsingi wapiga kura wakenya waliielewa vizuri kabisa. Na ndiyo maana siku siyo nyingi Lowassa atatunikiwa PhD ya siasa za kistaarabu. Na hii itatolowe na chuo kimoja kikongwe kinachoheshimika sana duniani.
 
Jamani wamasai ni watu wa culture siyo watu wa ukabila na hawana effect yo yote katika amani a nchi. Lskini makabila makubwa yenye kisomo kama vile wachagga, wahaya, wanyakyusa, wasukuma,yakisujudia ukabila kutakuwa na madhara makubwa sana kitaifa.
Nigeria wanao endekeza ukabila ni Igbo na Wayoruba. Hii dhambi ikitunyemelea haitatuacha salama na kama viongozi wana muheshimu na kumuenzi Mwl. Nyerere wahakikishe wanaikemea hii dhambi. Watu kama kina lissu wameanza kupaza sauti zao kuhusu hili hoja zao zipimwe kama zinamashiko zifanyiwe kazi. Nchi ya atakaye tangazwa mtakatifu iwe mfano wa umoja na mshikamano!
 
Hivi hii dhambi ya udini na ukabila ni mbaya kama ikionekana kufanywa na upande mmoja tu wa Chadema, Lakini ikifanywa na mkulu na watu wake haionekani kuwa ni kosa kubwa!?

Mbona mkulu anaonesha ukabila wazi wazi kwa mambo yake yote!? Kwenye hotuba zake nyingi ni lazima aoneshe ukabila bila hata kuficha.

Kwenye teuzi ndo usiseme kabisa zimejaa ukanda wazi wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5c4d35e39506d91f57b5c18b63fbe5cd.jpg
Angeshinda huyu jamaa.... ingekuwa balaa
Imagine hapa Magu, Kule Raila, pale Museveni, nyuma Kagame, afu timu inakamilishwa na Nkurunzinza.... Afrika Mashariki ingekuwa ni mwendo wa kuisoma namba tu.

Angalau nchi moja imejitoa kimasomaso kunchagua mwanademokrasia...

Nawashukuru sana wakenya kwa kumchagua Uhuru hakika mtakuwa huru
 
Hivi mmsai sio mtu?! Kuuliza Lowasa alienda kama mwanachadema au mmasai unashangaza sana kwa nini utofoutishe ukabila na uanachama wake? Acha ukabila wewe hata mmasai nimtu.
 
Hata hivyo uliwafuata wanini ikiwa hawakuhusu?

Kuwa na ushirika na Mswahili ni kujitakia UMASIKINI

Nilikua naenda discussion kwaajili ya kuandaa presentation mkuu, nilipofika frequency za lugha zikabadilika sasa huo sio ukabila huo?, Hivi Mswahili ni nani hasa maana neno hilo linanichanganya mno,na hao wasio waswahili wanaitwaje?
 
Back
Top Bottom