Uchaguzi Kenya: Lowassa alienda kama mwanachadema au mmasai?

5c4d35e39506d91f57b5c18b63fbe5cd.jpg
Ya mwaka gani hii picha?je ccm walikua upande gani?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Ivi Chadema mkitaka kutoa reference ya chama pinzani cha EAC ambacho kimeshinda na kimeleta maendeleo, ivo wapiga kura wasiogope kuwachagua, mtatutajia kipi?
Nilidhani mlipaswa kutoa reference ya Kenya.
 
huwa hamuandiki mpaka chadema wafanye jambo kwanza. au ndio kauli mwandishi anataka habari kwa mtu ambaye siyo mwanahabari?
 
Raila odinga anafanyiwaga figisu kama Malim seif kila uchaguzi , nawashangaa ndugu zangu wa CHADEMA na LOWASA wanamsapoti uhuru, wakati nao wanafanyiwaga haya haya, anayofanyiwa odinga.

Uhuru ni MAFIA wakati wa kesi yake kule Uholanzi mashahidi wawili muhimu waliuliwa, wakati wakijiandaa kwenda kutoa ushahidi, juzi yule jamaa wa tume ya uchaguzi anayesimamia maswala ya ICT, karibia na uchaguzi wamemuua, hapo ujue haya matukio sio bahati mbaya.

UHURU uchaguzi huu alikuwa hachomoki, mgomo wa madaktari zaidi ya miezi mitatu, ukaja wa wauguzi, ukaja wa wahadhili wa vyuo vya umma na hata sasa kwa majibu wa bbc bado Kuna mgomo baridi wa wauguzi na madaktari na baada ya kuona aibu juzi Kuna eneo moja (jina nimelisahau) lenye ukubwa wa ekari 900 ndani yake Kuna kaya 2000, likanunuliwa na serikali lkn ili mwenye kaya aweze kupata hati inabidi atoe dola 1800, bado tena mwaka huu kashusha bei ya unga kwa nusu bei, lkn baada ya muda bei ikarudi ile ile kwa kifupi huyu jamaa alikuwa hashindi .

Alafu nawashangaa CHADEMA kumsapoti huyu Uhuru, yaani tokea aje huyu Lowasa, amewashika vichwa CHADEMA, kila analolifanya na kusema kwao ndio na wamekuwa WANAFIKI wanao kataa nyama ya nguruwe alafu mchuzi wake wanaunywa, wewe mpaka wanaharakati na taasisi za haki za binadam wanasema Kuna wizi wa kura lkn wao wanamsapoti mwizi, ila angalieni mnachokisifia Kenya, kikitokea kwenu 2020, hatutaki kelele, ila hata hivyo sitawashangaa mkilalamika, kwani unafiki ni tabia ya chama chenu siku hizi.
 
Raila odinga anafanyiwaga figisu kama Malim seif kila uchaguzi , nawashangaa ndugu zangu wa CHADEMA na LOWASA wanamsapoti uhuru, wakati nao wanafanyiwaga haya haya, anayofanyiwa odinga. Uhuru ni MAFIA wakati wa kesi yake kule Uholanzi mashahidi wawili muhimu waliuliwa, wakati wakijiandaa kwenda kutoa ushahidi, juzi yule jamaa wa tume ya uchaguzi anayesimamia maswala ya ICT, karibia na uchaguzi wamemuua, hapo ujue haya matukio sio bahati mbaya. UHURU uchaguzi huu alikuwa hachomoki, mgomo wa madaktari zaidi ya miezi mitatu, ukaja wa wauguzi, ukaja wa wahadhili wa vyuo vya umma na hata sasa kwa majibu wa bbc bado Kuna mgomo baridi wa wauguzi na madaktari na baada ya kuona aibu juzi Kuna eneo moja (jina nimelisahau) lenye ukubwa wa ekari 900 ndani yake Kuna kaya 2000, likanunuliwa na serikali lkn ili mwenye kaya aweze kupata hati inabidi atoe dola 1800, bado tena mwaka huu kashusha bei ya unga kwa nusu bei, lkn baada ya muda bei ikarudi ile ile kwa kifupi huyu jamaa alikuwa hashindi . Alafu nawashangaa CHADEMA kumsapoti huyu Uhuru, yaani tokea aje huyu Lowasa, amewashika vichwa CHADEMA, kila analolifanya na kusema kwao ndio na wamekuwa WANAFIKI wanao kataa nyama ya nguruwe alafu mchuzi wake wanaunywa, wewe mpaka wanaharakati na taasisi za haki za binadam wanasema Kuna wizi wa kura lkn wao wanamsapoti mwizi, ila angalieni mnachokisifia Kenya, kikitokea kwenu 2020, hatutaki kelele, ila hata hivyo sitawashangaa mkilalamika, kwani unafiki ni tabia ya chama chenu siku hizi.
Kwa hiyo unataka CHADEMA wamuunge mkono rafiki wa adui yao
 
Kwanza huyu jamaa ni msanii wa kiwango cha hali ya juu.
Nasikia chuo kikuu dar alihitimu degree ya Sanaa.
Huyu jamaa ni Mmeru, lakini anajifanya Mmasai, maajabu ya ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom