Bin Mngereza JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 610 Reaction score 269 Apr 3, 2014 #2 cageclay said: View attachment 148970 Click to expand... Ndio au hapana.Utakutana nayo karibuni,Kiongozi.
cageclay said: View attachment 148970 Click to expand... Ndio au hapana.Utakutana nayo karibuni,Kiongozi.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,007 Apr 3, 2014 #3 Hatukuwa na democracy kabisa!!!!!
tanganyikakwanza JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 493 Reaction score 188 Apr 3, 2014 #4 mimi 1985 nilipiga hapo kwenye giza. chezea mimi wewe? magamba niliwakataa miaka mingi sana.
kiwaki JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 299 Reaction score 522 Apr 3, 2014 #5 Dah hiki chama hataree, karatasi ya mfano ishamchagua jamaa, maelezo ya hapo chini kumkubali au kumkataa madogooooo babu yangu sidhani kama aliyaona!!
Dah hiki chama hataree, karatasi ya mfano ishamchagua jamaa, maelezo ya hapo chini kumkubali au kumkataa madogooooo babu yangu sidhani kama aliyaona!!
Bin Mngereza JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 610 Reaction score 269 Apr 3, 2014 #6 genekai said: Hatukuwa na democracy kabisa!!!!! Click to expand... Hapana Kiongozi,ilikuwepo.Kwenye kura ya maoni,utaikuta hiyo.
genekai said: Hatukuwa na democracy kabisa!!!!! Click to expand... Hapana Kiongozi,ilikuwepo.Kwenye kura ya maoni,utaikuta hiyo.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Apr 4, 2014 #7 tanganyikakwanza said: mimi 1985 nilipiga hapo kwenye giza. chezea mimi wewe? magamba niliwakataa miaka mingi sana. Click to expand... Kumbe wewe kama mimi...!
tanganyikakwanza said: mimi 1985 nilipiga hapo kwenye giza. chezea mimi wewe? magamba niliwakataa miaka mingi sana. Click to expand... Kumbe wewe kama mimi...!
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Apr 4, 2014 #8 genekai said: Hatukuwa na democracy kabisa!!!!! Click to expand... Na bado hatuwezi kusema kuwa tunayo. Yale yale ya sera za chama na zidumu fikira za mwenyekiti!
genekai said: Hatukuwa na democracy kabisa!!!!! Click to expand... Na bado hatuwezi kusema kuwa tunayo. Yale yale ya sera za chama na zidumu fikira za mwenyekiti!