Uchaguzi Arusha: Mgombea CHADEMA kata ya Kimandolu akamatwa na police saa Saba usiku

Daku hawali kwenye madirisha ya watu hawa ni wezi tu,baada ya serikali kuvunja mtandao wa ujambazi Arusha vijana wanahaha kwa kupitia njia mbalimbali ikiwepo siasa.

Mkuu Mingoi,

Wewe ni mpenda amani najua kuna kitu nilikuwa sifahamu umenifahamisha kumbe baada ya serikali kuvunja mtandao vijana wakaamia kwenye siasa.
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa taarifa.
Please kama una namba za simu za hao wakubwa wa polisi hapo Arusha, tuwekee hapa mara moja ili sisi wapenda haki tuwape Threat kidogo hao mbwa wa CCM.
Wao si wanasema wamepewa order kutoka juu na sisi tutawapigia simu na 'kuwapa Order' kutoka juu zaidi.

Kweli chadema kuna vichaa,kama una mkubwa ambaye hana namba ya makamanda wa mikoa na wilaya ss huyo atakuwa mkubwa wa wapi au wa choo cha chuo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ni mpango maalum wa ccm,ulio ratibiwa na Mwigulu Nchemba na baadhi ya wajumbe nikiwepo mimi,ambapo tumelenga kukichafua chadema,kwa kufanya yafuatayo-
tumeleta vijana kutoka Singida,Morogoro na Dodoma na wapo hapa Arusha tokea wiki 2 zilizopita waki onyeshwa baadhi ya mitaa ya jiji,vijana hao wamepatiwa skafu,bendera na nguo zinazo onyesha kuwa wao ni cdm,kisha baada ya kukamatwa kwa huyo mgombea wamepewa maelekezo ya namna ya kuandamana na kufanya fujo kwa kujifanya wao ni wakereketwa na wapaga kura wa huyo mgombea kushinikiza huyo mgombea aachiliwe huru lengo ni kuonyesha uma kuwa cdm wanafanya vurugu ili uchaguzi uahirishwe tena (hii ni kwa mujibu wa kikao tulicho kifanya jana na kumalizika saa 6 usiku),ikumbukwe kuwa vijana hao ni Green Guards,na waliletwa kwa lengo la kudhuru na kujeruhi wapiga kura,baada ya kuona cdm wanataka kuanzisha Red brigade tukaamua kutumia hiyo njia mbadala ili tusionekame na sisi tuna Green Guard,mimi ni mjumbe wa kamati ya ccm mkoa wa Dodoma kwa upande wa UVCCM(nipo kambi ya Membe),na niko hapa Arusha tokea Jumapili kwa masuala ya kichama,nimeamua kuleta uzi huu kuwapa tahadhari wana cdm na viongozi wao akiwepo mbunge Lema kujitahidi kufuata misingi ya amani na utulivu kuanzia leo,Jumamosi na Jumapili kwasababu kuna mitego mingi sana mmewekewa ili mjikanyage tu na huo uchaguzi usifanyike,
Lengo hasa ni nini-
Kwa mujibu wa tathmini tuliyo ifanya kutokana na vikao vyetu tulivyo vifanya tokea Jumanne ni kwamba CCM kushinda kwa hapa Arusha ni ngumu sana,na ndio maana baadhi ya viongozi wa Chama hapa Arusha wameanza kukata tamaa na kuamua kukisaidia chama cha CUF ili angalau waweze kumwokoa meya wa jiji asiondolewe kwenye hiyo nafasi chadema wakishinda,
NAWASILISHA

Nimekusoma mkuu.....Ahsante kwa taarifa hii CDM tunatakiwa kuwa macho sana..
 
Kufuatia matumizi mabaya ya vyombo vya dola dhidi ya viongozi, wanachama na wapenzi wa CHADEMA nchi nzuma, serikali ya CCM inapaswa kuamua kufuta mfumo wa vyama vingi rasmi ili tupate uhalali wa kuingia msituni. Imetosha sasa.
HAKIKA TUMECHOKA.
 
ndio silaha ya mwisho ya CCM, laiti tungekuwa na jeshi lenye akili kama lile la Misri
 
Sasa hao Red Brigade wameishindwa kupambana pamoja na kupata mafunzo ya kijeshi nao wamekamatwa kama kuku.
 
Naanza kuona jinsi CCM itakavyomaliza watu hapo 2015, huu ni udiwani tu, je ubunge na urais tuhame nchi?
 
Kufuatia matumizi mabaya ya vyombo vya dola dhidi ya viongozi, wanachama na wapenzi wa CHADEMA nchi nzuma, serikali ya CCM inapaswa kuamua kufuta mfumo wa vyama vingi rasmi ili tupate uhalali wa kuingia msituni. Imetosha sasa.
HAKIKA TUMECHOKA.

Ni kweli jamaa ni wajinga sana lakini wametoa sababu gani hata kama ni ya uwongo?? Ina maana mpaka saizi bado giza totoro limejaa???
 
Kumbe mmeisha anzisha Red Brigade, sasa wameshindwa kumsaidia huyo mgombea.
Kwani Mbowe alisema tuanzishe au tuimarishe mafunzo. Anyway, tulijua kwa vyovyote vile uchaguzi wa Arusha ungevurugwa tu. Maana CCM hawapo tayari kupata aibu ya mwaka ya kupoteza zile kata zote nne. Walikuja na strategy ya kwamba mgombea mmoja kahamia CCM, ikakanushwa, sasa wameona bora kuwakamata tu wagombea. Its pity!
 
Sasa hao Red Brigade wameishindwa kupambana pamoja na kupata mafunzo ya kijeshi nao wamekamatwa kama kuku.
Red Brigade iliyopo sasa haikuwahi kupata mafunzo yoyote. Chadema haina mahali pa kuwaweka ili iwape mafunzo. So ni vijana wa mtaani tu waliojitolea kulinda, lakini hakuna mafunzo ya kijeshi. Ndiyo maana Mbowe alisema mafunzo yao yaimarishwe na si ianzishwe.
 
Naona Kikwete na vibaraka wake wameamua kwa dhati kabisakutengeneza Tanzania wanayoitaka wao. Kama ni jipu limeshaiva linasubiri wakulitumbua tu.
 
Back
Top Bottom