Uchaguzi Arusha: Mgombea CHADEMA kata ya Kimandolu akamatwa na police saa Saba usiku

Polisi wanajaribu kufanya kitu ili vijana wa chadema waka react, lengo lao la kutaka kuahirisha uchaguzi litimie

Kama ni hivyo basi wasipewe nafasi...

Hivi wanadhani wakishinda hivyo viti vya Arusha kwa mizengwe ndiyo watakuwa wamerejesha uhai wa chama?
 
Hakuna jeshi la kipumbavu kama jeshi la polisi....siku ipo ila watu inabidi waanze kuwashughulikia. Huu ni mpango wa CCM na wwpumbavu wao. Wanajua hawapati kura yoyote. Kwa hesabu yao, wakimtoa huyo, waka wakaiba chache, basi. Mchezo umeisha. Fast jet nchi imekushinda...sank uuuuuu! Umejaza watu wapumbavu maofisini. Mnasaidiana kuharibu mali za watanzania...kuwanyanganya mali zao, elimu na viongozi wao. Nakemea nguvu zenu za kishetani kataka jina la Yesu. Mshindwe...haya mambo yawarudie watoto wenu.
Ungeongoza nchi miaka mingine kumi nchi ingekuwa Somalia.

Mvivu wa kutafuta hadi kufikiri ww,amekamatwa kwa issue zingine haziusiani na siasa ww unaleta ushetani wako na utaumia sana JK akimaliza atazunguka nchi nzima kulinadi jembe lingine ambalo litawavua viatu na kuwakalisha sanaaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kwani uchaguzi ukifanyika akiwa anashikiliwa ndo hatachaguliwa? Ccm wanachoshindwa kuelewa ni kuwa wa2 sasa wanataka mabadiliko.
 
Nimepita ngome, maagizo kutoka 'juu' ni kuwa endapo CCM itaishinda CHADEMA wamepanga walipue STEREO BAR ya KIJENGE kwa kuwa ndio ngome CHADEMA ilikuwa inaitumia. Walichukua pia Guest Register Book ya hapa lodge.
 
MGOMBEA wa CHADEMA kata Kimandolu amevamiwa usiku wa manane na police AKIWA Ngome ya CHADEMA kata ya Kimandolu PAMOJA na walinzi wake Red Brigade watatu. SABABU ya kumkamata haijulikani.
 
Polisi wanajaribu kufanya kitu ili vijana wa chadema waka react, lengo lao la kutaka kuahirisha uchaguzi litimie
Nawashauri waachieni mawakili ndio wafuatilie,

CCM walifikiri trh 14/7 ni mbali mno, mbinu zote na mitego yote ya kuwafanya Chadema waanzishe vurugu zimeshindikana wakubali tu yaishe.
 
Mgombea mch. Ngowi ameachiwa ila wamewang'ang'ania vijana watatu waliokuwa wamelala pale lodge.
 
MGOMBEA wa CHADEMA kata Kimandolu amevamiwa usiku wa manane na police AKIWA Ngome ya CHADEMA kata ya Kimandolu PAMOJA na walinzi wake Red Brigade watatu. SABABU ya kumkamata haijulikani.
Tayari sababu mojawapo ni Red Brigade kwa kuwa haipo kisheria,pili hawa wahalifu saa 8 usiku walikuwa wanafanya nini?
 
Wameishiwa mbinu, sasa wanafanya upumbavu tu. Uzuri wananchi wanaona wanavyojikanyagakanyaga.
 
MGOMBEA wa CHADEMA kata Kimandolu amevamiwa usiku wa manane na police AKIWA Ngome ya CHADEMA kata ya Kimandolu PAMOJA na walinzi wake Red Brigade watatu. SABABU ya kumkamata haijulikani.

Mgombea ameshaachiwa bado wale makamanda wengine,msijali ukombozi sio lelemama.
 
Kumbe mmeisha anzisha Red Brigade, sasa wameshindwa kumsaidia huyo mgombea.
 
Back
Top Bottom