Uchaguzi Arusha: Mgombea CHADEMA kata ya Kimandolu akamatwa na police saa Saba usiku

Juu yenyewe ni kutoka kwa huyu jamaa.


uploadfromtaptalk1373586063068.jpg
 
Chadema chama cha fujo, bangi na wahuni waporaji watu wake zao. Sioni ajabu wakiwa wameshalikoroga na wako ndani.
 
Magamba kweli hamnaga kitu kichwani wenyewe wana polisi na makamanda wana umma,!!
 
Polisi wetu wako makini, kuna kosa lazima atakuwa amefanya huyo mgombea.

TANZANIA inapoteza umaarufu wake duniani sababu ya watu kama nyie. kwanini usisubiri uwe well informed ndio uamue kusema polisi wapo makini au la? hata kama unatumikia kafir wakati mwingine tumia akili zako.polisi gani ipo makini??
 
tumefukuzwa kituoni tunaambiwa tufike kesho kujua kinachoendelea na kama kuna mdhamana, wanasema hawawezi kutuambia kwa sasa kwani wao wamepokea maelekezo kutoka juu..

hii nchi hatuko huru ukibisha wewe tahira..

Kwa hiyo ishu kumbe ni Ulinzi shirikishi unaofanywa kati yao na viongozi wa juu eehhh.

Safari tulishaianza ngoja tuone mwisho wake ukoje?


Note:- Jitahidini kulinda na kuzuia wale watembea usiku na Takrima.
 
This is too much kwa hili TAWI la CCM Polisi kwa mambo ya kitoto wanavyofanya Mpaka linafanya lidharaulike mbele ya jamii
 

Kila siku wafanyao fujo na wanaokamatwa ni CDM? Labda CDM ni chama cha Majambazi. CDM kimesajiriwa kihalali na serikali ya CCM, huenda CCM ni DHAIFU. Kwa wale wanaogua hesabu za logic tutakubaliana CCM DHAIFU. huo ni mtiririko If (CDM majambazi) { No registration;} else {CCM DHAIFU;}
 
Poleni wakuu... Tunasubiria kukuche mtupe updates kulikoni.
 
Polisi wetu wako makini, kuna kosa lazima atakuwa amefanya huyo mgombea.
Hakuna jeshi la kipumbavu kama jeshi la polisi....siku ipo ila watu inabidi waanze kuwashughulikia. Huu ni mpango wa CCM na wwpumbavu wao. Wanajua hawapati kura yoyote. Kwa hesabu yao, wakimtoa huyo, waka wakaiba chache, basi. Mchezo umeisha. Fast jet nchi imekushinda...sank uuuuuu! Umejaza watu wapumbavu maofisini. Mnasaidiana kuharibu mali za watanzania...kuwanyanganya mali zao, elimu na viongozi wao. Nakemea nguvu zenu za kishetani kataka jina la Yesu. Mshindwe...haya mambo yawarudie watoto wenu.
Ungeongoza nchi miaka mingine kumi nchi ingekuwa Somalia.
 
Haya ndiyo matokeo ya vikao vya jana ambapo Wassira alikuwepo Arusha.
Uwepo wa mzee huyu hapa mjini jana ulikuwa na mshindo mkuu, maana combination ya huyu m'baba na mwigulu ni sumu ambayo kwa kiarabu tunaita Dhuha, ambayo ina uwezo wa kuua hata tembo ndani ya sekunde 5.
Kuna dalili zote kuwa uchaguzi jumapili hautafanyika, ambapo kimsingi ndio lengo la ccm na Lowassa.
 
Polisi wetu wako makini, kuna kosa lazima atakuwa amefanya huyo mgombea.
Makini...?? Hawa waliomfananisha Kombe na majambazi na wakamuuwa leo useme makini..??? Hawa waliotawanya tumbo la Mwangosi...??? Hawa wasafirisha bangi...??? Hawa waliom'bambikia kichwa cha mtu mfanyabiashara kule Morogoro...??? Hawa waliouwa wafanyabiashara wa madini wa kule Mahenge leo useme ni makini...??!! Na hivi walivyoambawa wapige tu ni balaa sasa... Hawa waliotaka kum'bambikia mtoto wa Mengi madawa ndiyo makini...??? Hawa waliotaka kumuuwa Mwakyembe ndiyo makini..???
Siku hizi, inahitaji uwe na akili ya mwendawazili kuweza kuwaamini polisi wetu
 
hawa ccm ipo siku yao kila siku wanatafuta sababu tena za kiwendawazimu kabisa watu tumechoka kwani arusha kuna nn mpaka ccm isipate amani kuiachia kwa cdm?
 
Polisi wetu wako makini, kuna kosa lazima atakuwa amefanya huyo mgombea.

kwani ni lazima ujitoe ufahamu?
ni kweli kwamba uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho?
ficha upinda wako usifiche ---------.
 
Nadhani majeshi yetu hasa polisi yanaweza kuishia kama 'chemical ally' kwa kazi zao chafu namna hii wanazozifanya kwani sasa tofauti yao na muuaji huyo haipo na wanapishana kidogo na majeshi ya Hitla.

Hakutakuwa na utetezi wa kutekeleza maagizo ya wakubwa mbele ya sheria muda ukifika.

Natoa msimamo mapema, sitahitaji tume ya maridhiano kwa watu wanaofanya unyama huu wakiwa na akili zao timamu. Rai yangu kwa jamaa zao wauaji na watesi hawa, wawaonye mapema waache kutii amri haramu za mbweha waroho wa madaraka.

Wake na waume wao waachane nao haraka kwani mchuma janga hula na wakwao. Aidha kila raia mwema akomeshe na asusie ushirikiano na hawa wadhalimu wote kama vile kumkataa shetani.

Pamoja na yote hayo wanayotutenda, haki na kweli vitasimama daima.

Hayo maubili ya kuibia sadaka wajinga wako,ww mwepesi sana huna jipya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom