Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!


Hayo yatakuwa maoni ya mtanzania mmoja kati ya million 35 ya watanzania wote (a tiny dot on the sea ...). Hii kuwa na "influence" ndio dalili moja ya kujitofautisha au "elitism". Kama kweli tunataka kuleta heshima kwa taifa na kuheshimu sheria, basi watanzania wote, hata mwanakijiji, anatakiwa kuwa na influence kwenye utendaji wa kila siku wa serikali ... hebu tusome mara kwa mara Preamble/Utangulizi wa Katiba yetu ya Jamhuri.
 

- Mkuu labda useme nani anafaa kuwa Rais wetu wa kuweza kupigana na mafisadi? Hatuhitaji ligi wala malumbano ya kitoto hapa, naona unayatafuta kweli nakuahidi kwamba hapa hutayapata! labda kwa wengine sio mimi unahangika bure tu! na utabadilika mpaka uchoke!

- Ingawa pia lazima nikupe heshima maana unachangia sana huu mjadala, big up!

es!
 

- Sawa sawa hapo mkuu, tupo pamoja sana!

Respect.


FMEs!
 

Ehe ... mbona unaonyesha jazba ... haya yalikuwa maoni yangu. Remember this forum's moto "Where we dare to talk openly" and I could add talk freely. Au hujazoea kukusolewa maoni yako nini? Ufisadi is a product of an ingrained rotten system, an overhaul that needs a whole civic revolution and not the cronies that you will purport to suggest to fight it (who are the product of this rotten system).
 
Tunawajadili 'FRONT RUNNERS' kisha siku zinavyokaribia utasikia wanazushiwa SKANDALI kuwamaliza.

Wataalamu wa Propaganda wanasema uongo ukirudiwa sana wananchi huamini ndio ukweli wenyewe, kumbukeni vyombo vingi vya habari vinamilikiwa na MAFISADI

- Mkulu Kakalende, maneno mazito sana haya, lakini ndio mchezo wa siasa unavyochezwa, kuzushiwa skandali ni part ya the game cha muhimu ni unavyoweza kuitumia hiyo skandali kwa faida ya kampeni yako, tizama Obama amezushiwa mangapi unakumbuka Bill Clinton na maneno yake kwamba hata Jesse aliwahi kushinda this state!

- Mwanasiasa wa kweli na anayeweza kupigana na mafisadi atasimama na ku-fight back na mpaka kushinda!

Respect!


FMEs!
 

- Mkuu nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

es!
 
- Mkuu nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

es!

Hatuhitaji "Rais" ili kupambana na rushwa Tanzania. Tunachohitaji ni umma ulioamka, unaokataa (kama ulivyofanya wakati wa ukoloni) kuendelea na zoezi hili zima la kufanya maskini kwa maskini zaidi na matajiri (wanaoiba mali ya umma) kuwa matajiri zaidi.
 
FMes Ulianza hapa,




FMeS!
Salim atashinda urais kule tena kwa kishindo kikubwa sana kwa sababu yeye na CUF wanachukua hela zao kwa tajiri mmoja huko Oman,

Ukaendelea hapa
Ukaja hapa





Halafu ukadai hivi....


Kwanza napenda kuweka wazi kuwa, na hii ni kwa mujibu wa maagizo yake Dr Salim A Salim, kuwa hana ndoto wala nia yoyote ya kugombea ama kuvizia nafasi yoyote ya madaraka, iwe katika chama chake ama serikalini. Na hata kama itatokea hayo mnayodai kuwa yanaandaliwa yakawa ni ya kweli basi kuna uwezekano mkubwa wa yeye kukataa kwani anaamini kuwa utumishi kwa nchi yake sio lazima awe na madaraka.

Pili, kwa kuwa unadai kuwa hapa sio majungu wala udaku hivyo ni vizuri, ni muhimu na ni uungwana ukaweka facts, evidence na proven dataz zako kuhusu hayo uliyoyasema hapo juu, kama ambavyo unasisitiza hapa.

Kwa wengine wote ambao wana nia njema kabisa ya kumtaka Dr Salim arudi katika uongozi wa nchi yetu, ningependa kuwahakikishia kuwa hivi sasa Dr Salim amekuwa akifanya mengi kwa Rais wetu, Nchi yetu na Bara letu na ameridhika kabisa na nafasi aliyonayo sasa. Nasikitika kuwa sina ruhusa ya kusema hayo anayoyafanya sasa lakini ni mengi.


omarilyas
 

- Mkuu nimekusikia, nia na madhumuni ya hii thread ni kuwataja viongozi wanaofaa na ikibidi wasiofaa,

- Haya maneno yako ni mazito sana lakini nakuomba yaanzishie thread yake inayohusu "Umma kuamka na kupambana na rushwa" itakuwa kali sana na itaelmisha sana wananchi.


es!
 


- Ndugu yangu Omaaar, heshima yako mkuu na vipi habari za siku nyingi unajua ni siku nyingi sana, anyways karibu sana mkuu kwenye mjadala nilizoziweka ni dataz ambazo wewe kwa uakribu wako na Salim unajua wazi kwamba ni facts kwa sababu yametokea na yamefanyika,

- Kuna mahali nimesema ninamheshimu sana Salim as a person ndio maana sitaki kwenda deep na yote aliyoyafanya Addis, hapa tunachambua uwezo wa viongozi kama kiongozi ana uwezo zaidi ya inavyosemwa ni wajibu wako kuweka wazi unachotaka kukisema na kukanusha unachoona anaonewa! Otherwise sina mpango wa kumchambua kwa undani sana sina sababu!

Respect.


FMEs!
 

Kaka kwa unachokifanya hapa sidhani kama unamheshimu hata chembe Dr Salim ambaye hata siku moja hajawahi kumvunjia heshima si mzazi wako na wala sio hao waliokuwa wakimtukana wakati ule na hadi sasa wanaendelea kwa njia nyingine.

Kudai huwezi kuweka facts kwa sababu unamheshimu ni njia ya kukimbia jukumu lako la kuweka the so called facts and dataz.

Ni kweli niko karibu naye na kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu hayo yanayo/ mnayoyasema na kujua ukweli wake. Sasa kwa kuwa wewe ndiye unayeweka tuhuma hapa na kudai kuwa ni facts, then ni jukumu lako kutoa huo unaoita ushahidi utakaosimamisha tuhuma zako.

omarilyas
 

- Kuwajadili viongozi wetu sio kuwavunjia heshima na wala hakuna mzazi wa mtu yoyote hapa awe wako wala wangu, hapa wanajadiliwa viongozi wanaofaa na wasiofaa, sitaki kwenda deep sio kwamba ninaogopa anything ila sioni sababu,

- Omaar, ninajua kua Salim alikwenda kusoma Cuba kwa kuepelekwa na Mzee Babu na sababu ya kuwapeleka huko yeye na makomandoo wengine 10 akiwemo Mahafudhi ninaifahamu, sasa ninapokataa kwenda deep sio kwamba sina dataz au facts, mkuu mbona zipo kwenye files za CIA ambazo zinaruhusiwa publicly kule Congress Library, nextime ukiwa kule pitia kule utayaona mwenyewe!

- Mzee mmoja wa CC kutoka Zenji, aliwahi kuniambia hivi tunamkataa Salim kwa sababu zile zile zilizomfanya Reagan amkatae kuwa katibu wa UN, mkuu Omaaar ninamaliza kwa kusema hivi msimamo wangu ni kwamba Salim hatufai kwenye uongozi wa nafasi ya u-Rais, kwa sababu hajawahi kuonyesha uwezo wake either kwa maneno au vitendo, na hasa katika kupambana na mafisadi, nia na madhumuni hapa ni kutafuta Rais anayeweza kupambana na mafisadi.

- Na bado ninarudia tena kwamba sitaki kwenda deep kwa sababu ninamheshimu sana, lakini mapungufu yake tena mengine very ugly yanajulikana sana mkuu dunia ni ndogo sana sio kama unavyofikiri! Tafuta info Mkapa alipomuita Mzee Ngejembi na kumkataza kumpigia kampeni Salim alimuambia nini?

Respect.


FMEs!
 
.

Sungi, Heshima mbele mkuu wangu.
Hiyo thread achana nayo.Ukiendelea kubishana nao mwisho wake utafungiwa.

Kama alivyosema mmoja wao kuwa hapa jf kuna waganga wa kienyeji.wanaongelea vitu vya kufikilika.Mawazo yao ni kwamba,mtu anayesimama kwenye jukwa la siasa na kukemea ufisadi,basi huyo ni kiongozi bora kwa hiyo anafaa kuwa rais wa nchi.
 

Sam

Mchango wako nini hapa? wengine tunapata elimu ya siasa za Tanzania, sasa wewe unakuja na pumba zako kama kawaida, please can you leave this thread alone ? wewe endelea na mambo yako yale yale! Kila mtu anakujua hapa....
 

mnafiki!!


mwongo what is JF..............................


napata sana shida na huyu mwana CCM damu, poleni sana kwa kutoana jasho humu

FMES nilikuuliza na ninaona unajikanyaga , hivi NYIE CCM MNA-MPANGO WA KUWEKA MGOMBEA MWINGINE MBALI YA JK?? KWA SABABU KAMA MGOMBEA NI JK NA HAKIKA NDIYE RAIS AJAYE, LENGO LA THREAD HII NI NINI??????

UTAKUWA MTU WA PROPAGANADA UWACHOTE WATU AKILI WABAKI KUJADILI CCM NA WATU WAKE MAFISADI AMBAO KATIKA HAO WEWE HAUKOSI

ONA SASA NDANI YA CHAMA CHENU CHA UKEREKETWA MNAVYOBAGUANA KIDINI NA KIRANGI! CCM WEE!

FMES nasema na nitaendelea kusema wewe ni mnafiki,miaka 40 mmekaa madarakani, wewe hujaona mabaya ya CCM mpaka leo ujiite mkereketwa? umefanya nini cha maana kulinda ukereketwa wako wakati mnaongozana na JK kila siku , hujaenda tu kwenye bembea

Hii thread haina maana yoyote unless unataka kutuaminisha kuwa ndani ya CCM mtammsimamisha mtu tofauti na JK!!

I REPEAT LOUD AND CLEAR, kwa post zako humu wewe ni fisadi, maadamu unakula na familia yako hujajua bado madhara ya CCM nchi hii!

UNACHOFANYA NI KUJIPA MOYO KUWA NAWE UKISEMA KUWA UNAPAMBANA NA UFISADI ANGALAU INAKUPA AHUENI YA MOYO

UNAKULA NA MAFISADI, UNAFANYA NAO KAZI, WANAKUTUMA, UNAWATUMA, FMES please wadanganye hao hao

This is just a gentle reminder nitakuwa nakuandikia kila wiki kukumbusha kuwa wewe na chama chenu ni mafisadi!!!!!!!!!!!!!!!!

note every week!
 


Hayo ya kufaa ama hakufai kuwa Rais sio kazi yangu maana nimeshakueleza msimamo wa Dr Salim ambao mara kadhaa ameshaurudia hata hivi karibuni kwenye vyomba vya habari tena bila ya kuzungusha maneno. He has no ambition whatsoever and he is happy on what he does now for the Prseident, country and our continent.

Sidhani kama haya unayosema sasa ndiyo niliyokutaka utoe hizo facts na dataz. Na pia na haya ya Mzee Ndenjembi nayo ni uzushi na uongo kama ambavyo ulivyodai hapo mwanzo kuwa eti alihongwa gari na Dr Salim. Kama kuna mtu aliyekataa hongo na kusimama kidete hadi sasa na Dr Salim basi ni huyu mzee. Kukataa kumuunga mkono "wanyumbani" na kusimamia misingi isiwe sababu ya kumdhalilisha Mzee wa watu...

Hilo la heshima kwa Dr Salim halipo na halijawahi kuwepo. Hiyo siyo hulka yako kaka.

You still have responsibility to produce ur so called facts, evidences and datza za hizo tuhuma ulizozitoa katika thread hii na katika ule mjadala uliopita hivi karibuni kama ambavyo nimeorodhesha hapo kabla na kama ulivyoainisha kuwa hapa hakuna majungu wala uongo.


Tafadhali pia naomba uonyeshe mahala popote pale ambapo BUTIKU aliwahi kumpigia debe Dr Salim. Popote pale. Mlishadai kuwa Dr Salim alitumia fedha za Mwalimu Nyerere Faundation kufanya kampeni. Hili nalo itakuwa ni busara, uungwana na jukumu lako na wenzio kulitolea the so called facts and dataz......

omarilyas
 
JF bwana, kazi kweli kweli! Ni personalities, personalities and personalities tu kila siku.

Iko wapi ile mijadala mizito ya sera na visions kama ilivyokuwa huko nyuma?

Tusipoangalia JF itageuka na kuwa jungu kuu la majungu!
 
JF bwana, kazi kweli kweli! Ni personalities, personalities and personalities tu kila siku.

Iko wapi ile mijadala mizito ya sera na visions kama ilivyokuwa huko nyuma?

Tusipoangalia JF itageuka na kuwa jungu kuu la majungu!

bwana weh!! kuna watu ukishaanza kusema nao lazima wawe personal, ni ugonjwa huo na una dawa ila lazma ukubali kwanza kwamba unaumwa!!
 
Sam

Mchango wako nini hapa? wengine tunapata elimu ya siasa za Tanzania, sasa wewe unakuja na pumba zako kama kawaida, please can you leave this thread alone ? wewe endelea na mambo yako yale yale! Kila mtu anakujua hapa....
.

Masanilo.
Mchango wangu hapo ni kumshauri Sungi asiendelee kuchangia hii thread kama alivyoshauriwa na FEMS Kwamba''- Haya maneno yako ni mazito sana lakini nakuomba yaanzishie thread yake inayohusu "Umma kuamka na kupambana na rushwa" itakuwa kali sana na itaelmisha sana wananchi''.

Kama wewe mkuu wangu unapata elimu ya siasa za Tanzania kwa njia hii ya majungu, uganga wa kienyeji na wa kufikilika,basi ninakupa pole sana.

Mkuu wangu Masanio, unaonekana ni mtu mwenye dharau sana na majigambo mengi sana na unaonekana ustaarabu unakupiga chenga vilevile.Kwa msaada tu ninakuomba ujirekebishe.

Kwenye thread zako za nyuma umewahi kujisifia kuwa una CV yenye pages nyingi sana,pengine ukimaanisha kuwa wewe ni msomi mzuri sana na juzi umejisifia kuwa kuna magari ambayo umeandika majina ya wana JF na unataka kuyatuma bongo,hizo ni mali zako kaka hatuhitaji sisi kujua.

Wengi wetu hapa JF wamesoma na kupata mafanikio makubwa sana kwenye elimu zao na hata kazi zao.Je?kila mtu akianza kujisifia katika hilo, hii itakuwa forum ya namna gani?.

Haujachelewa baba,jirekebishe,majivuno au mafanikio katika elimu yako na kazi yako ni siri ya familia yako.tunachohitaji kujua ni mchango gani umeutoa kwa jamii na taifa zima la watanzania.iwe kwa hoja au mali vyote tutashukuru

Msalimie sana mwaafrika.

asante sana.

Samweli-Nyakato-Mwanza.

 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…