Uchagani na misiba isiyoisha

Uchagani na misiba isiyoisha

Kwetu hatuiti misiba, tunaita sherehe ya maziko ama kwa kizungu ''Burial Ceremony'' - Karibu
 
So ni endanger tribe?

Mimi naona ishu si wanakufa sana, muhimu ni wanazaliwa wangapi na wanakufa wangapi.. (ratio).

Usambazaji wa taarifa za kifo, upokeaji wa taarifa, na asili(utamaduni) wa ushiriki.

Utapakaaji wao nchi nzima na Dunia kwa ujumla huku direction ya makaburi ni perpendicular to (Kilimanjaro)..... ndiyo unaona hicho unachoona kuwa wanakufa sana.

.... Usitanguliwe na chuki. Maana as long as hawakubughuzi, na hawavunji sheria za nchi, basi waache waishi au kuendeleza utamaduni wao..... nakuhakikishia ukifanya hivyo hutasononeka.

[HASHTAG]#TheyAreThereBecauseTheyMindTheirOwnBusiness[/HASHTAG]
Mkuu sijatanguliza chuki,nilichokuwa napinga kwa wale wanatoa hoja kwamba wachaga wanatabia ya kuzika kwao ndio misiba inaonekana.kwa wingi..

Mimi sijui kuwa wanakufa saba au vipi ila nimefwata hoja ya mtoa mada...

Kwann niwe na chuki ilihali sina.ugomvi nao
 
Sio kwamba tunakufa sana kuliko makabila mengine hapana! mchaga akifia mza, dsm, mby, Iringa, Znz, AR, Tanga na kwingineko lazima apelekwe kwao kuzikwa ndio utamaduni wetu na kamwe hatuwezi kuacha kwa sasa. Wewe uliyeendelea endeleza wa kwako wa kutokuzikana, sie tuachieni wa kwetu.
 
nyie endeleeni kuchomana mikuki ya midomo na kutupana mto ruvu. wachaga waliachana na ujinga 1800.
 
maendeleo hayo! wachagga kwao kila kitu ni maendeleo, wasije kukwambia unawaonea wivu wanavyofanya "Balance Of Nature"
Kwani uongo sasa?kusafirisha mtu mfu kutoka dar au mwanza au mbeya nk hadi moshi unafikiri ni shilingi mbili?hayo ni maendeleo mbona nyinyi mnashindwa kusafirisha mnazika hapa mjini au mnatelrkeza maiti hadi inazikwa na manispaa?
 
Kwani uongo sasa?kusafirisha mtu mfu kutoka dar au mwanza au mbeya nk hadi moshi unafikiri ni shilingi mbili?hayo ni maendeleo mbona nyinyi mnashindwa kusafirisha mnazika hapa mjini au mnatelrkeza maiti hadi inazikwa na manispaa?
anhaa kuumbeee!! basi hongereni kwa kufa!
 
Nakubaliani na maelezo yako kuhusiana na hizo mila za Wachagga. Ila kusema kuwa Wamisionari walifua dafu katika kuubadilisha utaratibu huu wa kuzika katika makaburi ya pamoja si kweli. Ukweli ni kwamba Wamisionari hawakufua dafu katika jambo hili.
"Otorong'ong'o, post: 19157180, member: 51902"]Wachagga hatuna utaratibu wa Makaburi ya Jumuiya(Pamoja) ....Utamaduni huu wa makaburi ya jumuiya ulijaribu kuletwa na Wamisionari ila walifua dafu...Walijaribu kutenga meneo ya kanisa kama eneo la maziko ila mwisho wa siku walikuwa wanazikwa Mapadre, mssista na Wachungaji..

Wachagga utamaduni wetu ni wakuzikwa nyumbani ....Yani Shamba unakuta lina eneo kwa ajili ya Wazazi na eneo kwa ajili ya watoto....

Ni Wachache sana huzikwa kwenye makaburi ya Jumuiya......[/QUOTE]
Naamini
 
Back
Top Bottom