Uchafu wa st.john university adharani.

Uchafu wa st.john university adharani.

St.John's main campus tuu, ina Unqualified teachers + other critical problems, what about other centers such as St.Marks, Msalato.....
so much more will be CAPITALIZED about St.Marks center which provides bachelor degree....
To get a degree now days is even faster than getting pregnancy
 
Mambo mengi kama si yote yaliyoandikwa ni ya kweli. Hao vijana wanaotajwa wanasomea masters akina Ryakitimbo na Kavishe wote hao wanapewa hadhi ya u senior lecturer wakati hawastahili. Mimi nilihitimu hapo SJUT kabla mambo hayajabadilika wakati wa enzi za marehemu Prof. Mwaga, Prof Meshack na Prof Mihanjo sasa wote hao hawapo tena wamebaki akina Allen Mtetemela wakijifanya wao ndo maprofesa. lakini hali ni kweli ni mbaya hapo chuoni chuo kinaendeshwa kwa ubabe sana na hao matutorial assisstants wamekuwa miungu watu na wote wametokea huko chini kwenye chabo na madesa na kweli hawana maadili mema. mi nadhani anayetaka kuhakiki hizi taarifa anaweza kupata taarifa zote kirahisi kwa sababu hakuna siri hapo chuoni kila kitu kipo hadharani na malecturer wanawataka mabinti kwa nguvu na wanapokataa huwafelisha au kuwapa maksi za chini.Ni kweli ni wakati muafaka TCU kufuatilia haya yote ili kuepusha chuo hiki kuendelea kuwa kichaka cha kuzalisha wataalamu feki wasio maadili mema, watanzania tuna kiu ya elimu sana lakini kwa mifumo ya aina hii tutazidi kudidimia kila uchao endapo udhalimu na dhuluma za aina hii zitakuwa zikifumbiwa macho.
 
Mabinti mkienda chuo mkasome sio kwenda kujipendekeza kutaka marks za bure. hv ukikomaa kuna mwl atakutafuta kweli?
 
Back
Top Bottom