Mbunye zimekuwa pipi siku hizi, watu wanapeana any time T....
dar raha eenh!
Mmmh....watu wanajilia vya bureee
Raha eeeh....mwisho wa siku yageuka karaha
kwa hiyo bongo tunabongonyoana lol!but all in all, people are living!
bongo bana, wanaingia elfu tatu, wanatoka 500!
hahahaaaa!!