Uchafu unaofanywa na wasanii wetu wa bongo wawapo location.. See images!

Babies? Aah wapi! La sivyo kina wema, wolper, auntiez, shilole na wengineo wangekuwa na vituo kabisaaaa vya kulelea watoto! Hapa abortion ndio kimbilio lao!
Hapa labda stdz ndio zitawamaliza!

Hapo sasa sidhani kama walikumbuka protection...you get more than what you wanted.. Disease, baby unplanned!! Shughuli
 
Dah! Kwa hiyo huko bongo movie hakuna taabu ya papuch! Unavuta unagonga, kabla ya location,raha ilioje" jamaaa anajigongea kwa ulaiiiiiiiini.
 
Hizi ni shots ambazo ziko kwenye movie ambayo inategemea kutoka muda si mrefu!

wasanii bado wako location, lakini, wewe kama mdau wa sanaa, una maoni gani kuhusu hizi shot chache zilizopigwa hapa?

movie1.jpg


movie2.jpg


movie3.jpg


hizo ni baadhi tu ya shots chache kutoka location! sasa swali la msingi hapa ni kwamba, je kuna haja ya serikali kuendelea kuwazuia hawa wasanii wetu? mbona kila kitu wanakifahamu lakini bado wanafanya yale yale wadau?
Six years today...muvi ilishatoka? tupe jina tuitafute
 
Back
Top Bottom