Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jan 15, 2016 #21 Ustaarabu unaanza kwa kutunga sheria na kuzisimamia. Lile zoezi la siku ya uhuru lingetakiwa kuwa endelevu. Sasa hivi Dar imerudi kama ilivyokuwa mwanzo. Na kipindupindu kinaendelea bado.
Ustaarabu unaanza kwa kutunga sheria na kuzisimamia. Lile zoezi la siku ya uhuru lingetakiwa kuwa endelevu. Sasa hivi Dar imerudi kama ilivyokuwa mwanzo. Na kipindupindu kinaendelea bado.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,822 Reaction score 126,646 Jan 15, 2016 #22 Uchafu ni Uswaz co kwetu Mabitoz