Uchafu ni hulka au tabia?

Ustaadh

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
413
19
Kumezuka tabia ya wananchi kutupa taka mahali popote (mfano kando ya barabara) na tunaona ni jambo la kawaida. Hakuna anayejali kwani tunachukulia kuwa si jukumu letu. Nani alaumiwe na kitu gani kifanyike kuondoa kadhia hii?
 

Attachments

  • _takatakahizo.jpg
    _takatakahizo.jpg
    46.9 KB · Views: 170
Back
Top Bottom