Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Thibitisha maneno yako! Utafiti upi uliofanya.Mtu katundikwa Manchester united.La liga ndo ligi bora angalia uefa wanakuwa wangapi hadi robo fainilia,Europa timu ya wapi inachukua,mchezaji bora wa dunia hadi wa tatu upo wapi,kombe la dunia la vilabu lipo wapi na bingwa mtetezi wa uefa champion league iko wapi.Ngoja nikueleze km haujui EPL ni league maarufu lkn imekufa bila kujijua,EPL kinachoonekana ni league ngumu ni hiki viwango vya timu kubwa na timu ndogo almost ni sawa.Timu kubwa zimebakiwa na majina na mashanikina sio mpira.nitajie timu ya England ambayo ikitoka nje ya Uingereza inayoweza mtisha Bayern,Dortmund,PSG,Napoli,Madrid ,Atletico Madrid,Barcelona, Juventus na n.k kwa ufupi haipo ,mnamcheka tu Arsenal na wengime pia mkifuzu watapigwa tu.Kuna haja pia ya kupunguza team uefa champion league maana Kiwango cha uingereza kipo chini mno.ukitaka burudani ya soccer angalia La liga,Bundesliga,league 1 utajifunza kitu ndo maana hata Tv km Azam na zingine wameona zina maana.Mulize Shaffi kwann wanaonesha hizo? Soccer limehamia hukoo
Mwakalinga ukishatulia na kuondoa jazba utakuja kuelewa nilichoandika .
 
Anamfunga sana barcelona,chelsea amenyakua UEFA mara ngapi?,chelsea bado ni mtoto mdogo sana UEFA,mafanikio ya barcelona ya ulaya uta linganisha na timu ya kata chelsea?
Tupe statistics mkuu... Chelsie kamfunga Mara ngap barca na Chelsie nae kafungwa Mara ngap il twende sawa....sio lugha Chelsie kamfunga Mara nying sana bla uzbitisho....yawezekana Chelsie kashinda Mara 2 ndo unaona nying..
 
Ni ujinga mkubwa mno kuifananisha La Liga na upuuzi wa EPL. EPL timu zote zina viwango sawa (vya chini) ndo maana kila mechi haitabiriki.

Haiwezekani bingwa mtetezi akutane na timu inayoshika mkia mechi itoke suluhu useme kuna ushindani. Huo ni ujinga.
Sevilla kakalishwa na timu inayopapatua isishuke daraja uko
 
Sevilla kakalishwa na timu inayopapatua isishuke daraja uko
Lau kama ligi ya spain na ya EPL zinawekwa pamoja na kucheza kwa pamoja kama ligi za kawaida, timu za spain zitasuasua zikikutana na za uingereza. Bingwa wa europa mara 3 sijui 2 mfululizo, amekutana na leceister timu inayopigana isishuke daraja..... watu wakiambiwa uingereza kugumu wanafikiri tunatania.
 
Hawatochomoza apa, wataendelea kuisifu uefalona kwa kuitoa psg
 
Lau kama ligi ya spain na ya EPL zinawekwa pamoja na kucheza kwa pamoja kama ligi za kawaida, timu za spain zitasuasua zikikutana na za uingereza. Bingwa wa europa mara 3 sijui 2 mfululizo, amekutana na leceister timu inayopigana isishuke daraja..... watu wakiambiwa uingereza kugumu wanafikiri tunatania.
Wanakamia tu hao, wewe huoni walikuwa wanacheza kwa kujilinda zaidi na kupiga counter atack? Haitaji degree kuona nani aikuwa dhaifu na tena akiwa kwao.

IMG_20170320_200427_389.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom