Chibudee JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 1,775 Reaction score 2,408 May 22, 2021 #1 Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure. Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapo
Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure. Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapo
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,635 Reaction score 103,536 May 22, 2021 #2 Chibudee said: Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure. Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapoView attachment 1794134 Click to expand... Perfect!
Chibudee said: Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure. Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapoView attachment 1794134 Click to expand... Perfect!
Chibudee JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 1,775 Reaction score 2,408 May 22, 2021 Thread starter #3 Retired said: Perfect! Click to expand... [emoji817]
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,773 Reaction score 126,714 May 22, 2021 #4 Kitanda cha wanafunzi wa bweni
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,740 Reaction score 76,384 May 22, 2021 #6 Je umefikiria siku zege likikatika maafa yatakayotokea!?
Chibudee JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 1,775 Reaction score 2,408 May 22, 2021 Thread starter #7 Emiir said: Je umefikiria siku zege likikatika maafa yatakayotokea!? Click to expand... Ndio Maana Nikasema Tizama. kisha Toa Maoni Yako Juu inaweza kuwekwa mbao Kisha Chini Zege likausika it's possible and more strong
Emiir said: Je umefikiria siku zege likikatika maafa yatakayotokea!? Click to expand... Ndio Maana Nikasema Tizama. kisha Toa Maoni Yako Juu inaweza kuwekwa mbao Kisha Chini Zege likausika it's possible and more strong
B BISECKO JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 640 Reaction score 713 May 22, 2021 #8 Chibudee said: Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure. Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapoView attachment 1794134 Click to expand... Ni vyema ungejua mchanganuo wake mpaka kukamilika chaweza tumia kiasi gani ili ujue unafuu wa gharama maana hoja ni unafuu. Sasa jiulize, kitanda cha mbao ama cha chuma cha ukubwa huo ama kitanda hicho kipi bei unafuu??? Kipi kinatumia mahitaji mengi na gharama kiasi gani mpaka kukamilika walau kwa makadirio tu?? Hebu tazama vizuri, zege, mchanga, kokoto, nondo, malipo ya fundi, tiles, cement na matofali.
Chibudee said: Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure. Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapoView attachment 1794134 Click to expand... Ni vyema ungejua mchanganuo wake mpaka kukamilika chaweza tumia kiasi gani ili ujue unafuu wa gharama maana hoja ni unafuu. Sasa jiulize, kitanda cha mbao ama cha chuma cha ukubwa huo ama kitanda hicho kipi bei unafuu??? Kipi kinatumia mahitaji mengi na gharama kiasi gani mpaka kukamilika walau kwa makadirio tu?? Hebu tazama vizuri, zege, mchanga, kokoto, nondo, malipo ya fundi, tiles, cement na matofali.
Albahi JF-Expert Member Joined Dec 30, 2020 Posts 481 Reaction score 588 May 24, 2021 #9 Iko poa sana aisee.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,984 Reaction score 189,583 May 24, 2021 #10 Zege tena unaweza kujijengea kaburi bure kisa kukimbia gharama za mbao.
Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,934 Reaction score 13,954 May 24, 2021 #12 Faida yake sio kutumia zege badala ya mbao, faida ni kuwa inachukua eneo dogo