sasa wanzungu ukata kuwa win wanapenda vitu kama hivi sababu hivyo vya kisasa kwao vipo
Mfano badala ya kulia mboga kwenye bakuli la udongo analia kwenye bakuli la kibuyu
kijiko badala ya cha stainless steel kinakuwa cha mbao.
Nyumba badala ya kuezeka kwa msouth unaezeka kwa majani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.