Shepherd JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 2,428 Reaction score 1,659 Dec 12, 2017 #21 Alafu inawezekana ubungo kwenda kariakoo ilikuwa mbali sana wakati huo naona na barabara ilikuwa ya moramu.Kweli mlifaidi sana enzi hizo so natural,chai ya maziwa ikiwa inatoka kwenye mabomba UDSM na Nyama za makopo za Tanganyika Perkers.
Alafu inawezekana ubungo kwenda kariakoo ilikuwa mbali sana wakati huo naona na barabara ilikuwa ya moramu.Kweli mlifaidi sana enzi hizo so natural,chai ya maziwa ikiwa inatoka kwenye mabomba UDSM na Nyama za makopo za Tanganyika Perkers.
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,988 Reaction score 5,503 Dec 12, 2017 #23 Sky Eclat said: Enzi za mikate ya siha na ice cream Avalon Click to expand... Ahahahaa alechino (hata spelling sizijue)
Sky Eclat said: Enzi za mikate ya siha na ice cream Avalon Click to expand... Ahahahaa alechino (hata spelling sizijue)
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Dec 12, 2017 #24 naiman64 said: Ahahahaa alechino (hata spelling sizijue) Click to expand... Alikuwa Mwitaliano nadhani hujakosea
naiman64 said: Ahahahaa alechino (hata spelling sizijue) Click to expand... Alikuwa Mwitaliano nadhani hujakosea
Tajirimsomi JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 4,824 Reaction score 5,605 Dec 12, 2017 #25 Hii sio Photoshop kweli mbona gari inaonekana kuchoka Sana ila iko road
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Dec 12, 2017 #26 Enzi hizo wanaume wa dar na panya road hawakuwepo
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,513 Reaction score 15,153 Dec 12, 2017 #27 BAK said: Watu wa enzi hizo walifaidi walikuwa wanajipigia nyama kwa nyama hofu yao vimafua tu vya hapa na pale. Utamu umeingia sumu. Click to expand... Mbona hata sasa tunapiga hivyo.
BAK said: Watu wa enzi hizo walifaidi walikuwa wanajipigia nyama kwa nyama hofu yao vimafua tu vya hapa na pale. Utamu umeingia sumu. Click to expand... Mbona hata sasa tunapiga hivyo.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,771 Reaction score 86,456 Dec 12, 2017 #28 mshana jr said: Halafu kulikuwa Hakuna ukimwi Click to expand... ila kulikuwa na VVU
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,919 Dec 12, 2017 #29 Mwaka gani u sheh Mshanajr
arch88 JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 514 Reaction score 618 Dec 12, 2017 #30 Hata zile nywele mabinti wakienda oga wanaziacha kitandani hazikuwepo,zaman raha
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Dec 12, 2017 #31 Daah! Aisee
AKASINOZO JF-Expert Member Joined Aug 22, 2016 Posts 1,367 Reaction score 2,219 Dec 12, 2017 #32 Huu mgari nadhn ndo walienda kuupaki pale kwa mama fatu "mbwa mkali" juction ya kuingia milambo high school wale waliosomaMilambo tabora watanielewa
Huu mgari nadhn ndo walienda kuupaki pale kwa mama fatu "mbwa mkali" juction ya kuingia milambo high school wale waliosomaMilambo tabora watanielewa
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,035 Reaction score 35,173 Dec 12, 2017 #33 BAK said: Na misambwanda FAKE ya mchina. Hakukuwa na mafisadi, wezi, wahuni na wauaji kwenye chama tawala na Serikali. Click to expand... Mada ipo vizuri wewe unachanganya na upuuzi wako
BAK said: Na misambwanda FAKE ya mchina. Hakukuwa na mafisadi, wezi, wahuni na wauaji kwenye chama tawala na Serikali. Click to expand... Mada ipo vizuri wewe unachanganya na upuuzi wako
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Dec 12, 2017 #34 Enzi hizo kila kitu original....siku hizi dah mpaka wanawake feki wapo...nasikia "stick" za wanaume nazo feki zipo...kitu kinafika magotini.
Enzi hizo kila kitu original....siku hizi dah mpaka wanawake feki wapo...nasikia "stick" za wanaume nazo feki zipo...kitu kinafika magotini.
Sumti JF-Expert Member Joined Jan 30, 2016 Posts 2,342 Reaction score 2,195 Dec 12, 2017 #35 BAK said: Na misambwanda FAKE ya mchina. Hakukuwa na mafisadi, wezi, wahuni na wauaji kwenye chama tawala na Serikali. Click to expand... Mkuu hata huku kwenye entertainment? We ni nomaa.
BAK said: Na misambwanda FAKE ya mchina. Hakukuwa na mafisadi, wezi, wahuni na wauaji kwenye chama tawala na Serikali. Click to expand... Mkuu hata huku kwenye entertainment? We ni nomaa.
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,803 Dec 12, 2017 #36 mshana jr said: Halafu kulikuwa Hakuna ukimwi Click to expand... Dah!
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,803 Dec 12, 2017 #37 Virakshari kwa sana! Hizo zilikiwa kosta za kiwango kwa enzi hizo.
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,372 Reaction score 5,124 Dec 12, 2017 #38 Enzi hizo mji wote wa dar mwizi alikuwa mmoja tu, Masoud akikaa kule magomeni, wengine wote walokole.
Enzi hizo mji wote wa dar mwizi alikuwa mmoja tu, Masoud akikaa kule magomeni, wengine wote walokole.
EWGM's JF-Expert Member Joined Jul 22, 2013 Posts 1,521 Reaction score 2,112 Dec 12, 2017 #39 mshana jr said: View attachment 649123 Click to expand... Hiyo Ilikuwa bonde la msimbazi, naona Kajima wanajenga barabara kuna taxi Peugeot 404 nakumbuka mbali sana. Enzi hizokulikuwa na"Simba Ruala" M'Nyamala Kariakoo, "Jadide" Ubungo Posta
mshana jr said: View attachment 649123 Click to expand... Hiyo Ilikuwa bonde la msimbazi, naona Kajima wanajenga barabara kuna taxi Peugeot 404 nakumbuka mbali sana. Enzi hizokulikuwa na"Simba Ruala" M'Nyamala Kariakoo, "Jadide" Ubungo Posta
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,394 Dec 12, 2017 #40 EWGM's said: Hiyo Ilikuwa bonde la msimbazi, naona Kajima wanajenga barabara kuna taxi Peugeot 404 nakumbuka mbali sana. Enzi hizokulikuwa na"Simba Ruala" M'Nyamala Kariakoo, "Jadide" Ubungo Posta Click to expand... Mkuu hizo Peugeot zilikuwa noma baada ya 404 zikaja 504
EWGM's said: Hiyo Ilikuwa bonde la msimbazi, naona Kajima wanajenga barabara kuna taxi Peugeot 404 nakumbuka mbali sana. Enzi hizokulikuwa na"Simba Ruala" M'Nyamala Kariakoo, "Jadide" Ubungo Posta Click to expand... Mkuu hizo Peugeot zilikuwa noma baada ya 404 zikaja 504