Ubungo flyover ni mwisho wa matatizo

Ubungo flyover ni mwisho wa matatizo

nachoona pale ni madaraja mawili yaliopishana tu,ile raman ya interchange na kinachoendelea ni tofaut kabisa
Wamefanya kubana matumizi kama walivyofanya mabadiliko pale Tazara, yote hiyo ni ufinyu wa bajeti, ila madhara yake tunaona mateso yanaendelea pale Tazara kwa watokao Buguruni na bandarini
 
Update: 09/05/2020
Ujenzi wafikia patamu
4FF85B89-BE88-4FEC-83E8-71D3156FF0C5.jpeg
 
nachoona pale ni madaraja mawili yaliopishana tu,ile raman ya interchange na kinachoendelea ni tofaut kabisa
Ulitakaje labda, duniani kote fly over zinajengwa hivyo jaribu kusafiri jamaa yangu siyo kushinda mitandaoni kupinga na kishabikia siasa. Jitahidi kuboresha upeo wako, pale hakutakuwa na foleni tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Update: 09/05/2020
Ujenzi wafikia patamu
View attachment 1444385
Dah.... kihisabati...ukitilia maanani muda wa huduma....kiasi cha huduma...kasi ya huduma...nina wasiwasi...tutegemee foleni yenye msongamano mkubwa...kuanzia Magomeni hadi katikati ya jiji kwa wanaingia mjini... Buguruni kwa wanaoenda bandarini...Mwenge kwa wanaovuka makutano...[emoji41]

Sent using Beretta ARX160
 
Wahuni hawa kujenga tena kituo cha UDARt pale Ubungo maji ni kuleta distraction kwa magari yanayopanda na kushuka darajani pamoja na abiria watakaoingi a kituoni. Hiyo itakuwa ni sehemu hatari sana kwa watu wavukao na kuingia kituoni. Hakukuwa na umuhimu wa kurudisha tena hiko kituo.
 
Dah.... kihisabati...ukitilia maanani muda wa huduma....kiasi cha huduma...kasi ya huduma...nina wasiwasi...tutegemee foleni yenye msongamano mkubwa...kuanzia Magomeni hadi katikati ya jiji kwa wanaingia mjini... Buguruni kwa wanaoenda bandarini...Mwenge kwa wanaovuka makutano...[emoji41]

Sent using Beretta ARX160
Lets be optimistic
 
Lets be optimistic
Dah...how?... Sijasema kuwa ni mradi mbaya...ila ni mradi usio mzuri sana....kwa akili ya kawaida... ukiweka hisabati pembeni...ukiwa unapanua mtaro unaoleta mafuriko..utaanzia mwisho wa mtaro kwa ajili ya usalama....kama ukianzia mwanzoni mwa mtaro lazima utawapelekea mafuriko walio mwisho wa mtaro...
Kama tungeanza kwa kuboresha maegesho...barabara nyingi za oneway...vivuko salama vya watembea kwa miguu...nk labda haya maflyover yangekuwa na maana zaidi....bila ya hivyo tutegemee kumsafirisha mtu kutoka Kimara hadi Magomeni kwa dakika 15...Kisha Magomeni hadi katikati ya jiji kwa masaa 2[emoji41]

Unasahau kwamba kuna feeder roads katikati ambazo zinaondoa magari, sio yote yanayovuka kivuka yanaenda hadi mwisho, mengine yanachipukia katikati. Mfano magari yanayovuka tokea Kimara mengine yanaanza kuchepukia shekilango, then Manzese and so on, na yanayotokea mjini kuvuka daraja yapo yanayochepukia njia feeders za katikati ya Ubungo na kimara, pia barabara imetanuliwa njia nane baada ya Kimara
 
Tatizo hakuna unachokijua nakusamehe bure.
Nimesafiri sana ulaya na marekani Ila hakuna hata sehemu moja niliwahi kukuta flyover imechanganya na mataa.My best two interchange moja ipo Wisconsin na nyingine ipo Amsterdam
 
Nimesafiri sana ulaya na marekani Ila hakuna hata sehemu moja niliwahi kukuta flyover imechanganya na mataa.My best two interchange moja ipo Wisconsin na nyingine ipo Amsterdam
Flyover zipo za aina nyingi
 
Back
Top Bottom