Ubungo flyover ni mwisho wa matatizo

Ubungo flyover ni mwisho wa matatizo

Kwa mliopita hapo hivi karibuni, ujenzi umefikia wapi?
Nadhani wanaanza kujenga barabara za pembeni, kazi kubwa ilikuwa kutengeneza miundombinu ya umeme(underground), maji machafu na masafi pamoja na simu.

Baada ya hapo naamini kinachoendelea sasa ni ujenzi.

Kiongozi FRANCIS DA DON upite njia ya Morogoro uone jinsi upanuzi wa Morogoro road ulivyo, pia pale Mbezi kuna project moja nzuri inaendelea.
 
Will do that, ila ninashauku ya kuona walau nondo mbili tatu zinasukwa, then nitaamini ujenzi umeanza rasmi, so far naona wanapiga porojo tu pale, i need to see the columns coming up, waache utani, time is money!
 
Dah...hiyo fly over/ interchange ikikamilika....wale wakazi wa kimara wategemee foleni kubwa wakati wa asubuhi...kuanzia Faya hadi Ubungo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Will do that, ila ninashauku ya kuona walau nondo mbili tatu zinasukwa, then nitaamini ujenzi umeanza rasmi, so far naona wanapiga porojo tu pale, i need to see the columns coming up, waache utani, time is money!
Ukiona nondo zinasukwa ujuwe its about 45-50% of the total work. Kinachofanyika sasa hivi ndio kigumu zaidi, trust me!!!
 
Back
Top Bottom