Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 979
Prondo tembelea hapa kuna kitu kinatua Jan/Feb utapenda SGR Dar -Morogoro.Zamani sana
Tanzania Railways Corporation - Promote And Manage Rail Infrastructure Assets
Prondo tembelea hapa kuna kitu kinatua Jan/Feb utapenda SGR Dar -Morogoro.Zamani sana
Hiyo hadi Yesu anakuja itakuwa bado
Hapo mtasema 2020 itakuwa inakaribia kuisha wakati hata ndoto hakuna!
tunawakumbusha tu kuwa na akiba ya maneno,siku nyingine wasirudie kuropoka.We Jamaa Mgomvi Sanaa [emoji23][emoji23]
Yaani majamaa yanaropoka tu bila kufikiria kwamba hii ni awamu ya 5 yenye kishindo cha aina yake 😂😂😂😂tunawakumbusha tu kuwa na akiba ya maneno,siku nyingine wasirudie kuropoka.
Imekamilika 2020 blood foolHadi mwaka 2099 unawezakuwa umekamilika!
Kwa hili, itabidi tu nimpigie kura, japo sikuwa na mpango hata wa kupiga kura, ila kwa hili moyo utanisuta, kwanini nisimpigie kura???!!!kwakweli nakumbuka mwaka 2015 tulikuwa na tatizo kubwa la foleni maeneo ya ubungo/kimara/mbezi lkn kwa sasa watu wanateleza tu.
Hongera sana serikali chini ya Mh. Magufuli kwa kazi nzuri ndani ya kipindi cha miaka 5.
Hakuna ubishi lazima tutakuchagua tena umalizie miaka yako 5 iliyo baki.
Mungu akubariki sana.
JPM mitano tenaMitano tena kwa JPM.
Kweli kabisa aende tusecret file jitokeze sasa kwamba unaishi huko Somalia kama huwezi kuhamia Somalia onyesha uungwana.
Na asirudi huku, abaki huko huko SomaliaKweli kabisa aende tu