Ubungo flyover ni mwisho wa matatizo

Ubungo flyover ni mwisho wa matatizo

IMG_3404.JPG.jpg
 
Maendeleo ya ujenzi yanatia moyo, ujenzi unaenda kwa kasi ya kuridhisha. Mwenye picha tafadhali.
 
Hivi haiwezekani kungalijengwa barabara moja ya juu toka Kiluvya all the way hadi mjini...

In between kungekuwa na barabara za matoleo na wale waingiao...
 
Kwa gharama ya trillion ngapi?
 
Mkuu Hayo Maujenzi ndiko watu wanapiga sana Mkuu?,sababu inawezekana kabisa Kujenga Toka Kibaha hadi Town, Au hata Chini ya Aedhi,
Nchi za Wenzetu hii ni Kitu ya Kawaida sana saba,Cheki Afrika Kusini kawaida sana,Cheki china tena Mji mdogo kama Chngdu Western Province Kuna Barbara Ya Juu Km 25.
Za Chini ya Ardhi Km 20,Just google utaona. sisi Sijui wanatufanya washamba?
Anyway Sisi tunaendelea kuwapigia makofi tuu!
Hivi haiwezekani kungalijengwa barabara moja ya juu toka Kiluvya all the way hadi mjini...

In between kungekuwa na barabara za matoleo na wale waingiao...
 
Sijui kwa nini designs zetu ni za kuishi miaka michache...

Mfano kuna kitu kinanishangaza hapo Ubungo...

Wamejenga kituo cha BRT katikati ya mdomo wa super highway, yaani pale magari yatapokuwa yakitoka au kuingia kwenye hump ya flyover ndipo pana kituo cha BRT...

Sasa unajiuliza, watumiaji hicho kituo watakuwa salama kiasi gani kuvuka barabara kuingia au kutoka kituoni mahali ambapo kutakuwa na flow kubwa ya magari?

Mkuu Hayo Maujenzi ndiko watu wanapiga sana Mkuu?,sababu inawezekana kabisa Kujenga Toka Kibaha hadi Town, Au hata Chini ya Aedhi,
Nchi za Wenzetu hii ni Kitu ya Kawaida sana saba,Cheki Afrika Kusini kawaida sana,Cheki china tena Mji mdogo kama Chngdu Western Province Kuna Barbara Ya Juu Km 25.
Za Chini ya Ardhi Km 20,Just google utaona. sisi Sijui wanatufanya washamba?
Anyway Sisi tunaendelea kuwapigia makofi tuu!
 
Sijui kwa nin designs zetu ni za kuishi miaka michache...

Mfano kuna kitu kinanishangaza hapo Ubungo...

Wamejenga kotuo cha BRT katikati ya super highway, yaani pale magari yatapokuwa yakitoka au kuingia kwenye hump ya flyover ndipo pana kituo cha BRT...

Sasa unajiuliza, watumiaji hicho kituo watakuwa salama kiasi gani kuvuka barabara kuingi au kutoka kituoni mahali ambapo kutakuwa na flow kubwa ya magari?
Kumbe na wewe umeliona hilo, yaani pale badala ya kuwa na free movement ya magari wao wakaamua kuweka kituo cha BRT, sijui kwa mantiki ipi. I thought kile cha Ubongo stand ya mkoa kingetosha kuhudumia watu wa Ubungo regardless wanaishi wapi.

Kuna udwanzi mwingi sana unafanywa na hawa wanaodesign wakiongozwa na wanasiasa wetu. Mbezi ya Kimara ambapo naamini kuwakuwa busy sana kwa sababu ya Stand ya Mkoa, hakuna kitu cha kueleweka kupunguza foleni, junction ya Goba haina overpass, ni mwendo wa roundabout tu.

Pesa zinatumiwa vibaya, basi hata wajenge speed train alongside Morogoro road hadi Chalinze, kuna reserve ya kutosha kuweka train ya haraka kwa watumiaji wa njia hizo.
 
Mkuu huwa najiuliza kama sisi watu baki tusio na madigrii ya barabara tunaona designs zina shida, hao certified engineers sijui huwa wapo wapi...

Unajenga super highways ambazo hazina over au underpass kwenye vimji vyenye muingiliano wa njia za pembeni na hiyo kubwa, mwisho wa siku wataweka mataa...

Wajifunze kwa wengine basi hata hapo Nairobi tu mbona zile barabara zao wamezijenga uzuri kabisa...

Back
Top Bottom